JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau habari za jioni Naudhuria katika hadhara hii kulizungumzia jsmbo ambalo nimeliona katika jiji lenu la dar Kila nikitembea niaona chura wanarukaruka chura wamejaa kila kona tofauti na...
8 Reactions
94 Replies
8K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
* *#DOGO_GENIUS*... . Dogo wa darasa la tatu anataka apelekwe darasa la 5.. Mwalimu wa darasa akamfikishia habari mwalimu mkuu wakamwita kwa maswali.. . M/MKUU: Wewe ndio Samweli?. . SAMWELI...
1 Reactions
1 Replies
810 Views
DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao. BABA: Kwanini unasema hivyo? DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekaa nimetafakari sana, kwanini tokea scorpion akamatwe Ndugu yetu na mtaalamu wetu wa mambo ya uchawi Mshana Jnr hasikiki jamvini.. Nkiangalia hoja mbalimbali za watu wanaomtetea scorpion...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
1 Reactions
5 Replies
722 Views
[emoji23] [emoji3] [emoji3]
0 Reactions
6 Replies
705 Views
Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi. Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na kwenda kwa jamaa mwenye kichongeo kipya ...inauma sanaa... WANAWAKE SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ASEEE...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Wana Jf juzi nilisahau cm yangu yenye namba ya cm ya mama yangu na nilipotaka kuwasiliana na mama yangu kwa mshangao mkubwa sikuikumbuka kabisa. Namba nilizokumbuka kichwani ni moja ya mchepuko...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
*Je wajua?* *Pengine inaweza kukustua lakini huu ndio ukweli na uhalisia wa mambo:-* *Chukua mwaka aliokufa Hayati J.K. Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe, halafu jumlisha na miaka...
2 Reactions
0 Replies
587 Views
Jinsi ya kumteka beki tatu mpya 1 kuwa mcheshi kwake 2 uwe mtu unaemjali mchukulie kama dada au mdogoako 3 akigombezwa kuwa wakwanzza kumtetea wakemee wadogo zako na ndugu wakileta dharua kwake...
4 Reactions
36 Replies
10K Views
Kuna aina ya wanawake unatakiwa kuwaepuka kabisa kwa gharama yoyote ile, "wanawake wanaodhani uzuri wao ndio bora zaidi kuliko tabia zao ". Alafu Sikuhizi Wanawake wa Kuoa ni adimu kama bikira...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
RE:
Kwa kweli video ya wimbo wa Diamond (Salome) ni nzuri Sana, ila kilicho niboa ni kuwa,hivi kulikua na ulazima gani wa kuvaa kinaijeria wakati ungeweza hata kuvaa kimasai kama ulitaka kuonesha...
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Habarii wana JF Nahitaji kufungua bar ila napata taabu jinsi ya kuchagua wahudumu bora a.k.a baaamedi ,naombeni kujua baamedi bora ni yuupi na yupi hafai ili nikianza usahili wasinichanganye ...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wachunguzi Wamesema kati ya Watanzani Wanne Mmoja ana Kichaa,Kwa hiyo kama Uchunguzi huo Umefanywa na Watu 20 kati ya hao wachunguzi Wanne ni Vichaa,Sa kuna Umuhimu gani Kuamini Uchunguzi...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
pesa hii apa ushindwe wewe tu http://betoftheday.ml/ref/Clemo255 pesa hii apa ushindwe wewe tu http://betoftheday.ml/ref/Clemo255
0 Reactions
3 Replies
839 Views
Katika hali ambazo sio za kawaida mtu huwa anajisikia ni hii ya kupeana promiss ya kukutana hasa geto. Unajikuta mtu mzima umejiandaa kikamilifu hadi mbu na nzi wote geto umewaua!umepulizia...
0 Reactions
3 Replies
742 Views
Wenzako wanakazana kuongeza Viwanja Na Magari We Umekazana Kuongeza Tatoo Mwilini Wenzako Wanakazana Kupanua Biashara Zao We Unakazana Kuongeza Weupe Mwilini Wenzako wanakazana kumtafuta Mungu We...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Mshahara ukiingia tu unaamua kula kuku. Wiki ya pili unaanza kula product za kuku (Mayai). Wiki ya tatu hela inaanza kwisha unaaza kula chakula chao(mahindi). Kimbembe wiki ya nne, umeishiwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…