JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kalitegemea A hahahhaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mdada hapa mtaani namsikia anamsifu mumewe kuwa hakuna mwanaume muaminifu kama mumewe, kwa kuwa toka jamaa kanunua simu ni mwaka wa 3 na kila akiaangalia simu, Inbox- Empty, Sent Items-...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wikiend hiyooo....inaanza njooni tujue aina za kuku ,kunae kuku wa aina nyingi Mfano: Kuku kishingo Kuku kipanki na Kuchiro Tiririka kuku wengine unaowajua......,..
0 Reactions
7 Replies
734 Views
Mambo vipi wanangu? Sio siri hapa JF kuna battle ya chini kwa chini kati ya wakongwe(member wa muda mrefu) dhidi ya Underground(member wasio na muda mrefu hapa jukwaani), Wakongwe wanataka...
11 Reactions
161 Replies
13K Views
mwenyew nampenda sana huyu mdada kutoka THT ni mzuri sana ase black beauty ana sauti nzito nzuri kila siku namskiza jamani nyimbo zake sio siri nimefall in love kwake nampenda sana nataman aje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani...
2 Reactions
159 Replies
17K Views
Habari. wana jamvi ?? Leo nimewaletea uzi wa kipekee kabisa , jinsi. ya kushiriki uzi huu unatakiwa kuandika neno. moja tu au hata kwa kutuma picha kuhusu. tukio lolote...
4 Reactions
213 Replies
16K Views
wafanyakazi wengi hasa hasa wanaume wanasema mara ooh dodoma hakuna miundombinu, mara kuna vumbi, mara mji ni mdogo, mara eti hakuna bajeti ya kuhamia dodoma...hizo ni gereshat tu...sababu kuu ni...
2 Reactions
6 Replies
901 Views
Je unapenda kuandika Post/threads zako za JamiiForums ukiwa katika mazingira/sehemu au katika hali/hisia gani?
0 Reactions
8 Replies
779 Views
Kuna vitu vina wingi wake ila kuvitaja katika wingi inaleta porobulemu! Mfano hapo chini. 1.chips 2.chupi 3.kuku 4.soda 5.papuchi 6.samaki. Kama unajua maneno ya kuwakilisha kwa wingi hapo juu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu, Hivi hili neno Kilaza lilizoeleka kutumika vizuri tu kumuwakilisha mtu asiye na maarifa fulani huku akijifanya maarifa hayo anayo. Kinachonishangaza neno hili limekuwa likitumika...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakati mwingine Wakinadada huwa mna maswali ya kushangaza sana aisee.Hebu fikiria uko kwenye mizunguko unakutana na mdada unamzimikia kweli na unatamani muwe marafiki msiishie tu kuonana siku...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
WAKUU KAMA KUNA MWENYE MIWANI NAOMBA ANISAIDIE KUNISOMEA HIYO NAMBA YA SIMU YA KWENYE HAYO MAELEZO YALIYOZUNGUSHIWA ALAMA NYEKUNDU PICHANI! NAONA KAMA MIWANI YANGU INASTAKI KWENYE HICHO...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike. Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika kutimiza majukumu kadha wa kadha nilipita wizara flani, sasa hapa nimekutana na officer wa hiyo ambae pia ni mshikaji wangu kitambo sana. Huyu jamaa ni mate wangu wa chuo enzi zile tulikua...
3 Reactions
82 Replies
5K Views
Wote tumesikia kila mtu anadaiwa milioni kwenye deni la taifa. Wajuzi wa mambo nilikuwa nataka kujua kama kuna utaratibu wowote kwa mtu binafsi anayetaka kulipa portion yake ya deni la taifa...
3 Reactions
5 Replies
717 Views
katika hospital moja ya vichaa, Daktari aliamua kupima niwangapi wamepona, katika chumba walichofungiwa alichora alama ya mlango alafu akawaambia ebu tokeni nje wOte wakawa wanajigonga pale...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman poleni na majukumu Ila Mimi naomba msada wenu kama kuna mtu anaweza kunipa connection jinsi ya kupata mwanamke wakizungu bhasi ani saidie ili nami nikajenge heshima umakondeni Nawasilosha
0 Reactions
5 Replies
762 Views
Jamani Leo nimefurahi Sana wana JF maana baba mwenye nyumba (landlord) amenishushia kodi ya pango . Ukweli huyu mtu niliyepanga nyumba kwake niseme ni muungwana Sana zaidi ya nilivyodhani...
13 Reactions
57 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…