JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Aiseee,sijui niseme ni kitu gani chema kipo katika ukoo wetu maana nimebarikiwa kuwa na wadada wazuri mpaka nikiwatazama....dah! Huwa najiuliza hivi huyo kidume atakae muopoa sister halafu...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake , Ungemshauri nini Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??
3 Reactions
95 Replies
12K Views
Jumapili narud tz likizo nna furaha siamini km narud tz, nafurah kuwaona rafiki zangu lakini sikai sana Dar nitakaa siku 3 tu kisha naenda Mwanza kwa Bibi. Eti sasa hivi uko baridi au joto...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Jamani iko hivi kuna binti nasali naye kanisani kwetu, sasa kibinti chenyewe nimekidondokea kabisa sijiwezi from the first time nimekiona. Mungu si athumani siku moja tukapangwa kufanya kazi ya...
3 Reactions
109 Replies
7K Views
Yamenikuta Jana hata sijui hawa jamaa wameumbwa vipi!! Ilikuwa hivi kuna baridi kali sana huku sasa Jana nikaamua kwenda club !! Mimi sio mlevi na uwa situmii pombe Kali uwa natumia maji sana...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Kwa wale Wa kabila la wasukuma naomba kueleweshwa nini maana ya neno wachwegi kwa maana house garl wangu ananipa mashaka nitafurahi zaidi kama nikipata msukuma kutoka sengerema ani pm Nina mengi...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
hapa nimeshindwa nimchukulieje huyu jamaa yangu aisee kanitumia sms hii jioni hii... eti..'kwenye matangazo ya colgate tunaoneshwa meno, mbona kwenye matangazo ya always hatuoneshwi kitu''...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nawapenda....kuweni na usiku wenye Baraka
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Nimeamua kuuanzisha uzi huu kwa lengo la kuchichea mabadiliko ya tabia miongoni mwetu na hivyo kuzidi kuliboresha Jukwaa hili Unadhani ni Mwana JF Yupi mwenye majinu au michango ya nyodo sana ama...
5 Reactions
484 Replies
25K Views
Mwny kujua namna ya kupata kaa Ivo apo juu (tafAdhiri[ nisaidie
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea, na kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga... next...
17 Reactions
112 Replies
6K Views
*Girl:* Baby ,Can you speak Italian, German or French?? Because you Like watching their games so attentively. *Boy:* Yeah I understand Everything... *Girl:*Mmmmh,can you speak a little so that I...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
*Jamani kwa wale wote waliopo humu ndani ambao leo wanafanya mtihani wa standard seven all the best* [emoji13] [emoji13] [emoji13]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huwa najuiliza hivi ni kweli zile takwimu zao ni maoni ya wachangiaji..!! si kwamba ni takwimu mbaya, la, bali huwa nahisi hakuna watu wanaofuatilia kipima joto cha kila siku na kujibu zile NDIO...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Karibu magomeni makanya tuje kuihudumia gari lako na kulirudisha kwenye muonekano wa awali!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hizi kampuni ziwe fair jaman mbona kwenye matangazo colgate na whitedent wanaonyesha MENO lakini #ALWAYS na FLEESTYLE hawaonyeshi kitu chochote?? [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji14]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alipigwa na homa kali ya malaria mpaka akalazwa. Akiwa hospitali hali yake ilianza kuimarika. Habari zikamfikia demu wake kupitia mashoga zake kuwa msela wake anaumwa na kalazwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
leo wakati nikiwa na washkaji tunapiga stori za hapa na pale, kuna jamaa akawa anaimba wimbo wa profesa j na sholo mwamba (kazi kazi) sasa kwenye mstari 'mama kanituma nikanunue kuku wa kiume'...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa sie wa Daslaam tumekuwa tunakerwa sana na tabia ya vijana wa mikoani (vijijini),wanapofika Dar, badala ya kuwa na mambo yanayoendana na jinsia yao, wao ukimbilia kuiga tabia za upande wa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…