JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nime Wa miss sana nilikuwa naumwa kidogo but now nipo fiti ile mbaya [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji108] [emoji126]
1 Reactions
6 Replies
797 Views
HAYA HAPA NI MAJIBU YA KUWAJIBU WANAUME WANAOKUSUMBUA INBOX SWALI: mrembo unafanya nini?? JIBU: natafuta pete yangu ya ndoa sijui nimeipotezea wapi... SWALI: tunaweza kuonana?? JIBU: nina mimba...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Zamani nilijua kila mwanamke anaweza kukata viuno.Nilijua wameumba hivyo sasa nimekuwa nikikitana na mabinti kadhaa wakija Ghetto, nikiwafungulia music wacheze wengi wao mauno magumu kama dona ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
katika hali isiyo tarajiwa polisi jijini humu wamelazimika kutumia nguvu ya ziada kuwatawanya waandamanaji walokuwa wakiandamana bila kibali na kuzua taharuki katikati ya jiji la Arusha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANAUME. Frank. John. Kelvin. Charles Edward. Kassim. Mohamed. Abdallah. Said. Yassin. WANAWAKE. Brenda. Catherine. Sarah. Grace. Janet. Rahma. Asnath. Khadija. Nuru. Hidaya. Kwa ambao pengine...
3 Reactions
85 Replies
11K Views
Tangu nikiwa kijana nilikuwa napinga sana swala la kutembea na mke wa mtu na nilikuwa naona ni ujinga sana. Nilishaapa mara nyingi sana mbele ya marafiki zangu kuwa sitokaa nitembee na mke wa mtu...
5 Reactions
70 Replies
6K Views
Jamani kuna majina yakifupisha uwa yana kuwa mazuri we unapenda jina gani
1 Reactions
98 Replies
8K Views
HABARINI WADAU Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana...
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Dawa ya wale wanaopita kwenye sehemu za starehe na kutaka kuchangiwa pesa kwa ajili ya ujenzi ama ununuzi wa vitu vinavyohusiana na mambo ya kiimani ni kuwaambia tu NIMESHACHANGIA..! Hawahawa...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukizungumzia michezo primary school nilikua napenda sana gololi ,bahati nzuri nilikua na coach wangu anaitwa mussa scot alini coach kucheza gololi hadi nikawa master Nakumbuka tulikuwa tunaenda...
0 Reactions
1 Replies
569 Views
Was'hkaji eeeeeeeh! Juzi kanipigia simu brother mmoja wa wa kitaa cha #tegeta_tanki_bovu, Ili nikampige twisheni ya kiswahili mdogo wake wa kike wa pale jangwani kwa kipindi cha likizo. Sasa...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
........Kuna Mnyakyusa ameishukuru mno Serikali kwa kupendekeza Mbeya ndio iwe sehemu ya kupatwa kwa Jua.....Lol Wanyakyusa mnaniangusha jamani. Na nyie watu wa TV muwe mnangalia watu wa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam ndugu zangu. Samahani kwa wale ndugu zangu wanaoishi Arusha naomba wanipe mwongozo ya sehemu yenge mgahawa mzuri wa chakula. Nataka kujua wanatoa vyakula gani na wanafunga saa ngapi. Pia...
5 Reactions
16 Replies
5K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Huyu dogo siku hizi haonekan kabisa humu. Tumemiss uwepo wake na posti zake na michango yake kwa kila jukwaa kwaanzia hum, Jukwaa la siasa, celebrity forums had huko Ugandan...
6 Reactions
97 Replies
7K Views
Macho ya Wanaume sijui yametengenezwa na material gani, yana tamaa muda wote utadhani Simba wa Serengeti ambaye hajala nyama wiki 2, unaweza kuwa na demu mzuuuuriiii au mke bombaaaaaa, lakini...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
3 Reactions
2 Replies
816 Views
Hawa ndo Kiboko yao! Hakuna wazo atakalokupa ambalo ni la kuingiza hela..yeye kila wazo lake ni la kupulusa kilichopo bila kujali kitarudije na zikiisha itakuwaje!Wanatumia ile 'Shauri yake...
19 Reactions
122 Replies
9K Views
:frusty: HAKUNA KICHEKESHO KAFANYENI KAZI HUKO MTENGENEZE PESA! KAMA HUNA KATAFUTE. MUNGU ATAWAJALIA KUPATA.
0 Reactions
28 Replies
17K Views
Ningependa tujuane wale wanafunzi wote tuliosoma Kigurunyembe sekondari Morogoro mwaka wowote ambao tupo humu Jamii Forums,kama Mimi nilisoma pale kuanzia 1996-1999 karibuni tafadhali
0 Reactions
6 Replies
2K Views
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…