Habari!
Yani siku yaleo sijui najionaje nahisi niko hovyo hovyo tu yani hovyo hovyo tu . mpaka watu hawawaelewi mtu akisema hivi najibu tu ilimradi akisema vile sieleweki yani. Akifanya hivi...
Jamaaaaa alikamatwa ana dawa za kulevya,,,, akaambiwa achague adhabu kati ya kunyongwa, kupigwa risasi, au kupigwa sindano ya virusi vya ukimwi yaan (HIV),,,,,
Jamaa: Samahani naomba mtoke nje...
Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa
[emoji445] kuandika nambaa, kuandika nambaa [emoji445] na kuiweka juu ya mlima kilimanjaro [emoji445] isomeke hata nje ya mipaka yetu, ilete na msongo wa mawazo..pale ambapo hakuna msongo[emoj445]...
Kabla sijawapa link naomba kuwapatia Haya Maelezo ambayo yamenistua sana!!.
Ki sayansi Haya mabara yaani afrika,Asia n.k yalitokea baada ya dunia kuachana kwa ardhi kugawanyika polepole hadi...
Wakuu Habarini za mida hii,
Ni matumaini yangu kuwa muwazima na mnaendelea vizuri na mishe za hapa na pale.Sasa Nimeamua rasmi kumpa mwanangu Jina la MWAKUPATWA, ikiwa kama ishara ya kumuunga...
Juzi nilikua nimemtembelea baba mkwe wangu ambaye alikua amelazwa kwa kuanguka ghafla nilipojaribu kuumuliza daktari nini hasa chanzo cha tatizo akanijibu mzee alianguka kwa ajili ya njaa daa...
Mapenzi hayana tofauti na Biashara ya Duka,Bahati mbaya tu Mapenzi hayana Kabila. Laiti Mapenzi yangekuwa na Kabila basi Wachaga wangekuwa wanafaidi sana Mapenzi maana wana Discpline sana ya...
Mke wangu wa kiethopia na kituruki. Mtoto yupo natural wala hatumii mkorogo mda wote sichoki kumuangalia alafu hawekagi yale madude madada wa kibongo wanaekaga usoni, mtoto full natural...
Wanawake bwana mbona mnakuwa washamba sana kuna Demu mmoja nilikutana naye nikampeleka kwangu tena mwanafunzi kabisa wa Chuo kikuu
Wakati tumekaa ni usiku sasa nikawa natoa nguo navua eti...
Kupigana na mtu kwa sababu ya Mpenzi
wako,either
a boy or a girl ni UPUUZI!
Anayekupenda hawezi kukufikisha in a state ya
wewe kupigana na mtu mwingine kwa ajili yake.
Mapenzi sio sawa na...
Ukitoa shilingi 10,000 bar unaonekana kibopa lakini ukitoa hiyo noti kwenye daladala unaonekana msumbufu.. *Hii inaitwa muktadha*
Ukivaa gauni refu la kitenge kanisani unaonekana una maadili ila...
Siku chache zimepita wakati tunaangalia taarifa ya habari kuna mzee mmoja wa CCM aliposikia Magufuli akitishia kubadili noti kwasababu watu wameficha pesa akaangua kicheko cha dharau.
Nikamuuliza...
Umepata mpenzi mpya unaona ujikakamue umtoe out. Mnaingia mahala pa nguvu, anakula anakunywa vizuri sana hatimae unafika muda kuondoka,
anakwambia kuwa atalazimika kurudi kwao maana baba yake...
Ukiambiwa tu I love you nyonyo zinasimama wiki 2
ushavuliwa nguo, Hata Chakula huiva vizuri
kikifunikwa...Sasa wewe nani amekwambia
ujifunue-funue kuacha Sufuria wazi??Hakiivi kitu
hapo... halafu...
Habari JF....jamani leo am soooo darn happy...hehe nimefurahi sanaaa nilipo log in nkajikuta nimekua jf expert member[emoji39] ...and i was thinking of that just few days ago...nlkua nimechoka kua...