JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
HISTORY EXAM 1.Factors for Ukuta resistance to fail. a) lack of unity eg CUF and Ukawa b) strong magu army c) poor government support d) lack of military suport e) Mbowe eats cement money. f)...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari waungwana poleni sana na kazi.. Leo nilimechoropoka ofisin nimekuja hospitali flani ya macho mjini hapa NHC HOUSE kurepair lens za miwani maana macho yangu yanamwaga machozi mfululizo...
3 Reactions
123 Replies
8K Views
Mke kasikia mumewe ambaye alikuwa safari akigonga mlango wa nyumba yao afunguliwe, naye alikuwa na bwana mbaya zaidi walikuwa wanaishi ghorofa ya kumi na nne, mdada mwasherati akamwambia bwana...
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Wanaume wa dar hivi mnavyo jiremba na kujipodoa kama dada zenu lengo lenu huwa ni kumtega nani?maana sisi wa mikoani tunawashangaa mapicha yenu mnayosambaza kwenye social media mmejiremba na...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wanawake wana katabia kamoja kananiacha Hoi sana, akitaka kukuacha wala hatumii sababu kuubwaaa....Anaweza kukufumania red-handed na Mwanamke halafu wakaangua kilio, Akaumwa Wiki, Akapata Ulcers...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo nimetoka kifungoni (BAN). Natafuta dawa ya kujikinga na BAN za JF. Naomba ushauri.
2 Reactions
50 Replies
3K Views
UKUTA ulitangazwa na CHADEMA. Watangazaji wakajipanga kimaandalizi bila ajizi. Wanasiasa,viongozi wa dini,wa kiserikali na walinzi wa amani wakajitokeza na kukataza. Wengine wakafanya mazoezi ya...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Greetings fellow Tanzanias. General Question: which website do you use to hunt jobs and/or hire candidates?
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Kwenye chuo kimoja cha kitabibu profesa aliwaingizaa wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambiaa sifa ya UDAKTARI ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini. Akaingizaa kidole kwenye njia...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Niaje wazeiyaaah... Mko Bwaxx... EBANA SAWA : Naona mko attentive kushuhudia Solar eclipse, UKUTER, miaka 52 na mengine mengi hiyo kesho. Mie akili yangu inawaza CR7 anaanza lini kucheza Maana...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Profesa mmoja alikuwa anafanya utafiti wa kisayansi juu ya nguvu ya chakula dhidi ya ngono. Akaanza kwa kufanya majaribio ya panya. Alimfungia panya dume katika kibanda chake kwa muda bila kumpa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah lakini hizi mimba hua zinatunyosha unakuta mwanamke wako ana mimba, na mmeshinda poa 2 mchana mzima, ikifika usiku kitu ka saa sita ivi anakuamsha, "beb nipeleke petrol station niende kunusa...
7 Reactions
14 Replies
4K Views
Jamaa alikuwa amekaa ndani ya club. Changudoa akamsogelea na kumwuliza, "Unataka mambo yetu?" Jamaa akamwambia, "Ndio. Lakini, unaweza kunipa kama mke wangu?" Changudoa akamjibu, "Hapa usipime...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndani ya Bac litokalo D'SALAAM kwenda MOROGORO cm ya mdada mmoja ikaita akapokea kusema Hello honey niko njiani kuelekea ARUSHA kwenye msiba nitakupigia nikifika" mara cm ya mkaka ikaita jamaa...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Wasichana Hii tabia yenu ya kwenda kwa boyfriend wako huku umevaa pedi za Angels normal na kuzipaka tomato za RED GOLD si nzuri Eti unasingizia upo kwenye siku zako muache hii tabia KUNA mwenzenu...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
*Zuzu* alipewa gari aendeshe matokeo yake akaua watu 50 *Traffic*:Imekuaje ukaua watu wote hawa? *Zuzu*:Nilikuwa spidi ghafla nikaona watu weng kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyeje...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Teacher -Baba Eliza ana mabinti wanne , Nana , Nene , Nono wamwisho anaitwa.....? Dent - Atakuwa anaitwa Nunu!! Teacher-Narudia tena Baba Eliza ana mabinti wanne Nana ,Nene, Nono, huyo wa nne...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Majina mapya huko Mbeya., Mwakupatwa Mwakajua Mwakamwezi Tulimwezi Atupatwile twa jua
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Gerezani kuna vituko balaa Kijana mmoja alifungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka ng'ombe, ratiba ya huko gerezani kila ijumatatu ni wali nyama ya ng'ombe... Maneno yanayotoka kwa wafungwa...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…