JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
_*WANAWAKE Bana NI BALAA TUPU WAKIKUTANA SALON..*_ *ONA HAWA WANATAMBIANA MAJINA YA MABWANA ZAO..* *Wa 1: Mi wangu ni SOSPETER, nikipenda namwita SOS au PETER!* *Wa 2: Mi wangu EMMANUEL...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
*Nimeibua papper hii mahali fulani. Vipanga wa mahesabu tusaidie kuujua ukweli* ``` MATHEMATICS EXAM PAPER ``` _Time: 2Hrs 30MINS INSTRUCTIONS: ATTEMPT ALL QUESTIONS. ALL QUESTIONS CARRY EQUAL...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Supasta alipopata mkwanja akaamua kuhamia mitaa ya watu wenye pesa akiwa na mke na mwanae. Siku moja mwanae alipokuwa anacheza na manati akavunja kioo cha nyumba ya jirani. Supastar na mkewe...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
1 Reactions
0 Replies
685 Views
*Eti Leo nmemtext X wangu Hi....akaUpdate Her Status (Am Happy without you) alijua cjui nataka nn kumbe nlitaka nimwambie nmekutana na babaAke Mjini kavaa Koti langu* [emoji23]
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kama Kuna mtu mwenye huu wimbo ili niwe na sikiliza taratibu maana sijapata hela ya field na sina kitu na nina madeni kibao naomba mnitumie wimbo wa ccm mbele kwa mbele...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna Madem ni shidaaa Msione wanasali makanisani kwa Kulia hadi makamasi mkajua wanaombea Nchi yetu isiingie Vitani,au wanaombea Mayatima,Kuna Madem wanalia na kulia na Mengi,Wengine wanaomba...
5 Reactions
105 Replies
8K Views
Wewe ni mke wa mme mmoja tu,ingawa mpaka sasa umepitia mikono ya wanaume sabini,kila mmoja amepiga kinanda kwa style yake,wengine wamepiga flati wee,ukawavumilia lakini wakavurunda,uka watimua...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
WanajF wote wanapenda misifa wanatafuta kiki kujibusti hadi kwenye status zinazohusu misiba. Yangu nasema badilikeni unapenda ustar kautafute makaburini. Sio jF [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni...
0 Reactions
5 Replies
764 Views
Kuna kabinti tulikua tunachat nacho kwenye mitandao ya kijamii kama friend ikaja ikatokea siku moja nikiwa mikoani kwao tukaonana stori za apa na pale mwisho akaondoka kiukweli nilikaona kadogo...
3 Reactions
94 Replies
7K Views
"Urefu wa kutoka Dar mpaka Mwanza, ni sawa sawa na" Urefu kutoka Mwanza mpaka Dar ". Lakini Urefu wa kutoka" Ijumaa mpaka Jumatatu" ni mfupi kuliko Urefu wa kutoka "Jumatatu mpaka Ijumaa". Sasa...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
STRESS NI NINI..? 1. Je stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.! 2. Au stress ni pale unapoamua...
1 Reactions
0 Replies
696 Views
mademu wa sikuhizi huwezi kusikia eti ''Baby nna mimba yako'', hawapatagi mimba hawa hata ule rosti miaka 8, ukimwaga ugali wanamwaga mboga...wanaopata mimba hawa ujue wamekuja mjini na mbio za...
8 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamii forum Ngoja na mm leo niombe ushauri.Kuna binti mmoja nipo naye kwenye mahusiano kuanzia 2013 yeye yupo Dar na mm nipo mkoa moja kaskazini mwa Tanzania.Sasa tatizo langu huyu...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
. Hivi imekaaje umeibiwa simu bar baada ya kuwa umezidiwa na kiraji na kusinzia, ila ulienda na kasichana ambacho hukafahamu vizuri, mashuhuda wanasema baada ya kuwa kamekuamsha kakasepa na simu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sisi wana-ukawa tunajiuliza maswali mengi sana juu ya kuadimika mtani wetu wa jadi maarufu kama Lizaboni hii sasa ni siku ya nne hajatia mguu hapa jamvini, kama kuna mtu ana habari zake...
7 Reactions
87 Replies
5K Views
Tukumbushane Mara ya kwanza kura kwa kisu na uma ilikuwaje, Mimi nilibahatika kushiriki conference nyingi kubwa Mara zote nikawa nakula kisu naweka kushoto uma kulia basi nikazoeahvyo mwaka huu...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
  • Closed
Tujuzane unayo mangapi? Na kwa siku unaingia yote?
0 Reactions
59 Replies
9K Views
Nimekoma mbona ushabiki mwingine mtu unaeza poteza uhai wako hivihivi. Kuna siku geita kulikua na mashindano ya mpira kati ya geita A na geita B walikua wanachezea pale katoro! Sa mi kujifanya...
1 Reactions
1 Replies
771 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…