JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
NDOA inafungwa KANISANI Mchungaji akauliza- Yeyote mwenye Pingamizi La Ndoa hii kufungwa aje Mbele, KIBABU kikasimama na kwenda Mbele, Bi harusi akaanguka na akazimia ghafla! Mchungaji- Tuambie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za kwenu wana jamii.. Leo nilikuwa safarini kutoka Dar kwenda Arusha..Nilipofika Mombo nikakumbuka sana zile hotel nilipokuwa nakula miaka ile nasoma shule za Moshi.Binafsi nimekumbuka sana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ikifika Jumamosi atakubembeleza kweli,"Babe Nimekumiss Njoo Home". Ukienda Utajikuta umempikia Utajifanya Wife Material utamfulia viboxer vyake vya mpira vilivyopauka rangi,Utajiangalizisha Muvi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Musa came back from school singing and dancing. His father was wondering why he was so happy and decided to ask him. *DAD:* ```My son, I have never seen you in this mood in a long while. Any good...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Juz kat npo kipande cha super market na mtoto mkareee tunanunua bidhaa mara ghafla ushuz ukanibana nikaona apa nitembee kwa spid ili nmuache demu nyuma nipate chance ya kuachia vitu vyangu sasa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni haki ya Kila mtu kuuza mali yake mwenyewe kwani hakuna mwenye mlitafuta nae, huruhusiwi kumuuza mtu. mwache ajiuze. Vipimo vitafanyika kwa uko mzima kuepusha genesis za maradhi ya kurithi na...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuwekwa kama DP ya Whatsapp hakumaanishi wewe ndo Mfalme wake..WALAAA USIJIDANGANYE! Kuwekwa Facebook na kuandikiwa Caption ambayo inakutoa machozi ukiisoma na kumuonea donge aliyewekwa,"My Bae is...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
John Sanga alikuwa mchoraji mzuri sana wa picha...siku moja akachora picha ya noti 10,000 kwenye sakafu ya darasa!... Mwalimu alipoingia darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua alipokuwa...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Hivii, hili neno "KAA VIZURI" kwa mwanamke lina maana gani? Wakati wa mchana Mwanamke akiwa nje ukimwambia "KAA VIZURI" anabana miguu, Lakini wakati wa usiku akiwa kitandani ukimwambia "KAA...
6 Reactions
28 Replies
9K Views
UNAMNG'ANG'ANIZA MPENZI WAKO AKUWEKE KWNY PROFILE PICHA MLOPIGA PAMOJA HIVI ULIDHANI MWL.NYERERE ALISHINDWA KUKAA NA MKEWE MARIA KWNY NOTI YA BUKU...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
habari zenu humu ndani...wikend hii nategemea kuwepo rock city...sasa jamani ajitokeze mrembo wa jf mmoja awe mwenyeji wangu kwa kunionyesha mitaa ya mwanza na burudani zake.
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Ukitaka kujua rangirangi halisi za Bi Harusi kitabia,hata kama amekuwa akipritendi na kuongea kama Shemasi wa Parokia ya Mabibo Farasi we angalia ule muda ambao MC amewaita "MARAFIKI WA BI HARUSI"...
1 Reactions
2 Replies
831 Views
Wakuu poleni na harakati!! Nimeulizwa swali ba dogo nikashindwa kujibu!! Hivi wakuu binadamu hukua mda gani kwa sababu mi juzi kuna kamba ya kuanikia nguo nilikuwa siifikii sasa juzi nimeenda...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna...
4 Reactions
78 Replies
16K Views
Je wanajanvi nini cha kufany pale unagundua umempa mimba mke wa mtu na hataki kutoa but yeye lengo lake ni kutoja pale alipo ili aolewe na mm
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nakumbuka kipindi najifunza kutengeneza magari baada kumaliza elimu ya msingi wakati nasubiri matokeo nilienda kwa uncle yangu mjini sasa wakati uncle anend zake gereji sikubakaniambia ucle twende...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Chezea Mapenzi Ya Mbali Wewe.. Wewe Unaish Dar Alafu Baby yuko Sumbawanga kikazi.Hamjaonana Miezi 5 Kutokana Na Ubize wenu Na Majukum.. Siku Mnaonana Unamuuliza Miezi Yote "Hii Ivi Baby Ujani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kaka yangu kaforwadiwa huo ujumbe na girlfriend wake. .mnautafsirije?
1 Reactions
99 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…