Eti Ohh Mimi Super Handsome...Oh mimi ni
Model...Nna 6packs sina kitambi mademu
wananipenda...
Baba kama huna hela basi HUNA NGUVU ZA KIUME!
Mwanaume hata awe na Kisukari na Kichumvi Juu
jogoo...
Et kuoa mke mzuri ni sawa na mkulima kumiliki shamba la miwa karibu na shule ya msingi".
Mwenye misemo kama huu atuwekee tutafakari, tucheke wikiend ipite.
Angalia Athari ya Utani:....
Jamaa Alikuwa Amekaa akitazama soda yake Kwa Zaidi ya DAKIKA 20.
Akaja Mtani Wake Mmoja Akaichukua soda, Akanywa yote!
Jamaa Akaanza Kulia.
Mtani Akamwambia...
Naomba tujadiliane kwa hili tunajua mapenzi ni pesa zari la pro j halipo siku hizi maana mimi ni mwanamme wa kisukuma kabila letu ndo wanasema si ndo tunaongoza vipi makabila mengine sio muhimu...
Hahahah Huyu Jamaa huwa ananiacha hoi sana. sijui aliendaga wapi le mbebez pacha wa le mutuz! dr.holygrail rweyemamu kutoka dubai ya bongo huko bukoba state!
Je, umewahi kukumbana na Girlfriend mwenye
maswali ya dizaini hii??
Hawa neno kujiamini huwa ni msamiati. Usiombe
kukumbana nae, lakini siku ukimpata ngoja nikupe hint
ya jinsi ya kumjibu:
''Mbona...
Wakuu heshma zenu!!
Wakuu naombeni ushauri wenu!!
Jana wakati niko na shemeji yenu/wifi yenu tulienda kufanya shoping supermarket! Sasa wakati tuko mle ndani tukakutana na werembo wengine...
Sasa hivi inaitwa 24 Live another day! Kama mnakumbuka mwisho wa season ya 8, alikimbia marekani kukwepa mashtaka, na akakimbilia Uingereza. Sasa inaendelea huku akitafutwa na serikali za marekani...
1.Analia mfulululizo kama kinanda cha parokia bila
kubadili key wala Tyun.
2.anaaongea english nyingi za kwenye move za series
3.Anarudia maneno yale yale kuanzia dakika ya
kwanza hadi ya 90 kama...
Usione Wanaume wanakopa mamikopo makubwa
wanaishia kununua magari ukadhani wanapenda... Hali imekuwa tete siku hizi..Ukiwa na Gari una asilimia 75
za kumpata demu.. Umeenda Samaki Samaki
umemkuta...
Wadada wa mjini unampa lift anakaa siti ya mbele anafunga na mkanda dereva unajiuliza dah huyu dada anajua sheria za barabarani, kumbe anataka
kujipiga selfie akapost instagram tena utakuta...
Kuna wanawake eti ukimuudhi anaacha kukupa adhabu zoooteeee eti anabana Uvungu...Anahisi ndo Adhabu ya kukukomesha...VERY WRONG PUNISHMENT!
Mwanaume na Sex ni kama vitz na Petrol,
Nikikosa...
Ninaposema Tanga, simaanishi Korogwe au Handeni, ninamaanisha Tanga haswaaa Tanga walipo majini watu wa kike, kiukweli Tanga imebarikiwa sana, kama unabisha we bisha tu.
Tukianza na lafudhi...