Jumapili njema
Nazungumzia aina za wapenzi,maana katika maisha tunatodautiana kwa mambo mengi...twende sasa
1/Sugar mummy & Mario
Penzi la aina hii ni kati ya mwanamke wa makamo na...
Unamtumia baba ako meseji ukiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" anakuuliza "pckt mny" ndo nini? Unamjibu ni kifupi cha "pocket money" af ankutumia 10,000, unamuuliza hiyo hela ni...
Poleni na weak and wakuu!!
Hivi gari la gear 5 lenye speed 180!! Niaendesha hadi gear no.5 na speed ikafika 180 alafu hapo hapo nikukuta mteremko mkali gari nikaweka free!!!
Je!!! Speed mita...
Ni hayo tu wakuu amenishangaza ......am confused !!sasa hapa alikua anamaanisha nini?halafu tangu siku hiyo ananiganda sana
Kwenye profile yangu kuombwa maji baada ya "kibabababa" cha lisaa 1 and...
Juzi nimeenda job interview flani alaf nikaulizwa "So how far did you go with your education?" Nikajibu "I didn't go very far because our school was just behind my house"...wakaniambia niende...
Umemuonyesha Unampenda,umesota weee kumtoa
Lunch na Dinner lakini wapi..Meseji anajibu
akijisikia....Ukimwambia I miss you anajibu
"K"...Ukipiga Simu hapokei na akipokea anaongea
kama Mtu...
Halafu Demu akikuacha unalalamika, "Wanawake
wa Siku hizi hawaridhiki,nimempa kila kitu yule
Mwanamke lakini bado ameniacha"
Ukipewa Lips unahangaika kama Fundi Cherehani
demu akirudi home...
Nimepita gereji mara moja mida ya saa tisa hivi, fundi wangu kaletewa wali maharage na maparachichi kama matatu hivi, akashushia fanta ile nyeusi.
Baada ya kama dakika kumi akapita muuza madafu...
Imagine unasafir mdogo wako ana drive kukupelek air port/bus station mkiwa kwenye gar dogo ana play wimbo 'hainaga USHEMEJI tunakulagaa tu'...kumbuk mkeo/mumeo yeye hasafr..nipen mawazo yenu apa...
I have been dating 'HER' for over 3months now and everything is going fine. Last week I decided to invite her to my place, and she came. When we were together, her phone rang but she refused to...
= Umeingia chooni na kukuta Mavi ya maana yameshushwa pembeni ya choo Muda mfupi uliopita..! Mara ukaamua kuahirisha zoezi la kujisaidia na kuskia kutoka chooni.., Wakati unatoka chooni Mlangoni...
Za mchana wandugu
Kutokana na agizo la kamanda kuwa kila mtaa uwe na kikundi cha ulinzi shirikishi, Sisi mtaa wetu umeanzisha hicho kikundi na watu wanajitolea kulinda. Sasa majuzi nilikosa...
Baada ya Kuishi kwenye chumba kimoja huu ndio uzoefu wangu
Ukitaka kumjua mkazi wa chumba kimoja mtembele kuanzia saa tatu hivi usiku, utakuta kila kitu ndani yakiwemo majiko, ndoo nk
Ni ngumu...