Mzungu alipita na nyani wake karibu na muuza ndizi,nyani akapora ndizi akala muuzaji akamaindi,mzungu akasema unamaind nini wakati ndizi kala ndugu yako?mzungu akaondoka aliporudi akakuta nyani...
Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.
Erickb52 na Chocs
watu8 na measkron
marejesho na...
For my birthday I want world peace, to end hunger and pain, to end global warming, to end racism, for people not to judge others by the outside, for all ages, colors, races, and other differences...
mi siamini km hakuna mungu
mi siamini km kuna ktu cha bure duniani
mi siamini km maisha magum yanafanya mtu kua changudoa
mi siamini uongo
mi siamini km duniani kuna masikini
mi siamini km furaha...
Hebu niambie. Itakuwaje endapo......
- Nitamgombeza na kumchapa sana msichana aliyevunja ungo kwa kuharibu kifaa muhimu cha nyumbani.
- Nitamkamata mwizi siku ya kwanza kabla hajafikisha siku...
Mbongo akiwa dubai kashika sigara anataka kuwasha na hajui jinsi ya kuomba kibiriti kwa kiarabu.mara akamuona mwarabu anavuta sigara ikabidi aombe kiroho ngumu HELP ME JEHANAMU heheheh
Kuna shee hapa mtaani kwetu ni swala tano kama mnavyojua waheslam wanao shika dini yao vzr mda waku swali ukifika lazima aswali wanaita swala tano
Sasa kinacho ni maliza ni hiki hapa she e...
"Leo Ni Kesho Uliyoihofia Jana" Huu Ni Ukumbusho Kuwa Maisha Ni Mapambano. Tuheshimiane Na Kuthamini Mawazo Ya Wenzetu Ila Sio Kuogopa. Uoga pekee Ni Dhambi Kwa Mungu. Unamuogopa Nani?. Yeye Kama...
Habari wanabodi,
Unakumbuka nini ukisikia majina haya chini? Kipi kinakuja kichwani mwako endapo ukiona moja ya majina haya?
-Urafiki Club
-Arnatouglou
-Summit Kilimanjaro Hotel
-Vijana...
We Hamnazo we,
Kwa uzembe wako wa shule tangu ulipoponea chupuchupu Form 2, sikutumii tena hela za matumizi mpaka utakaponipa jibu la hesabu hii ya kujumlisha hapa chini.
Kila herufi katika...
Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick...
Watu kweli wamezoea vya kunyonga!!!!....
WABONGO SINA HAMU NAO...!!
Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya
kuondokana na lile la zamani, basi akaliweka
nje ya nyumba yake na kuandika kibao:-...
Jamaa aliaribikiwa na gari usiku ikambidi aende nyumba ya jirani na hapo kuomba hifadhi ya kulala.
Mama mwenye nyumba akamshauri mumewe kwamba sababu chumba hamna mgeni alale na baby!
Jamaa...
This time naandika hapa...hope wengine wamelala ila kuna wengine bado! Niko na mood ya kuchat...about maisha na issue zingine za kiungwana zaidi! Kama vp tupia namba yako tuchat whatsapp! Ofa kwa...
SHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi...
dah! Ma fellow members nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika nlikuwa na mpenzi wangu tunapendana sana yan bt siku ya siku nlimkwaza k2 kdogo sana sasa ndo ikawa...