JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND 1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2] 2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lakini wanaume wa Dar nani kawaroga?? Wanaume wa mikoani tunakula ugali maharage nyie mnakula chips hadi mnaandaa matamasha ya kula chips mayai? Hivi hizi heshima kwenye ndoa zenu zitaletwa na...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa wanaume wenza mitaa ya Jamvi, Jana nikiwa napita maeneo katikati ya Jiji , mara hammadi , mbele yangu pakawa na vijana wawili wakiwa na makundi mawili ya wapambe. Kwa dakika chache...
1 Reactions
150 Replies
18K Views
Hawa wanawake nawashangaa sana. Naandika hapa kwa masikitiko makubwa, naomba na wewe unaye soma usome kwa masikitiko pia. Hivi hawa wanawake kwanini ndio wanao ongoza kwa kupoteza simu? Hasa hawa...
6 Reactions
95 Replies
9K Views
Tarehe 17 juni tutafanya uchunguzi Humu JF ambapo kila mmoja anaombwa kutuma meseji ya neno *NIPO* ili tujue uhai wa cmu yake.
0 Reactions
2 Replies
896 Views
MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA Chitwechenkura. 1.Nazuia Simu feki zisizimwe 2.Kurudisha Mtoto aliyefukuzwa UDOM 3.Kununua sukari kwa bei ya kawaida 4.Kuzuia usiumie kwa basi la mwendo kasi likipata...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanaJF. Naomba kuuliza ukiacha kifurushi cha univesity offer walichokichakachua kuna kifurushi gana kingine nafuu mbadala? Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
668 Views
Habar wapedwa muhusika hapo juu namtafuta humu ndani kuna jambo nataka kumweleza kama unamjua mwambie kaka yake anamtafuta
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Sijui ni mimi pekee au kuna wengine mmeielewa hii ngoma.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Bitoz binJecha ***Km hujampigia mtu kura..ulalamishi wa nini?***
14 Reactions
120 Replies
7K Views
Ni attention tu aisee hawa wa dada wa huku usiwadharau bana. Jana kuna member famous mmoja mdada ID kapuni. Ki utani utani tu tukajikuta tumekutana jana. Aisee ameumbika vibaya mno. Nnavopenda...
5 Reactions
117 Replies
8K Views
MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA Idumulavanu. 1.Nazuia Simu feki zisizimwe 2.Kurudisha Mtoto aliyefukuzwa UDOM 3.Kununua sukari kwa bei ya kawaida 4.Kuzuia usiumie kwa basi la mwendo kasi likipata ajali...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tz banaaa imepita bajaji apa yenye bango limeandikwa Baba J. Mhhhhh haikawii tutaona pia ktk ma bus na magari ya mizigo. Pls kwa wale wakina dada humu mlio na bby girls kama bado hamjawabatiza...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
618 Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
leo asubuhi nikiwa katikati ya jiji la mwanza naanza anza weekend, nimekutana na sura ambayo si ngeni machoni mwangu lakini sikuwa na uhakika, so kama kawaida nikamwambia samahani mdada nahisi...
4 Reactions
81 Replies
5K Views
.
3 Reactions
92 Replies
7K Views
Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana, Najuwa wako watakosema mabaya na wengine kupongeza ila nimejipanga kuyaishi yale nayo yasema,Ikidhirika kwamba huwezi kuyafikia...
1 Reactions
74 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…