Kama unafunga basi funga kwa Ustaarabu wako,
Kama huu mwezi ni mtukufu kwako basi tambua hiyo sio kwa wote..!!
Sasa yale mambo ya mtu anakukuta kwenye starehe zako alafu anaanza kukuhubiria...
CHEZEA GENIUS:
Mtoto: Mwalimu mimi nataka
nisome darasa la 4 kwani hili la 2 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivo?
Mtoto: Nina akili...
Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha...
Kuna mdada mmoja tuliwahi kuwa wapenzi kwa kipindi kifupi sana. Siku moja tukapishana kiswahili akajifanya kuzila akawa hapokei simu zangu. Nilimbembeleza sana lakini akawa mugumu sana kunielewa...
UTAMU WA CHIPS MAYAI.
Kwa wanawake : kunenepeana na kujaza mafuta kila sehemu ya mwili na hata Kwenye mirija ya uzazi na kuleta madhara mengi ikiwemo pia mauvimbe na mengineyo mengi
wanawake...
Jesca: Mwalimu mimi nataka
nisome form six kwani hii form 4 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivo?
Jesca: Nina akili...
Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule.
Mkuu kaitisha interview na...
Mwanamke mmoja ivi wa kihindi aliolewa na jamaa mmoja wa Kifaransa,yule jamaa akampeleka kwao Ufaransa wakawa wanaishi huko Ufaransayule mwanamke alkuwa hajui kifaransa akawa kila akienda dukani...
Ebwana wanaJF Mzuka!
Lile zal la Uli nami nataman nilipate niuage umaskin au hali ngum ya maisha. Tatizo zal kama lile linategemea pia bahat kwasabab kibano cha haja kama kile na dental formula...
Imagine we ni mwanafunzi ulofukuzwa udom juzi,unarudi home unakuta pamebomolewa kisa pako bondeni.
Unaenda kwa shangazi hata chai anashindwa kupika kisa bei ya sukari iko juu.unaona bora uende...
Out of curiosity, ningependa kuwafahamu membaz kumi wa mwanzo wa Jf. Hawa ni ma legends, though labda ma admins ni rafiki zao, but ningependa kujua the first time Jf was online, watu kumi wa...
Habai zenu wana JF
Kama wiki moja imepita nilipata mwaliko kwa jamaa yangu fulani huko mkoani ,ni siku nyingi hatujaonana kiasi miaka kadhaa ,ukweli nilikwenda na nilianadaliwa msosi wa maana tu...
Mimi mtoto wa Magufuli hahaha!
Siku moja enzi za ubrazamen wangu nilikutana na mtoto mkali sana pande za Mwananyamala komakoma kwa sasa ni msanii maarufu tu. Yule dada alikuwa anaringa sana na...