JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Teacher- What is a Family? Student- a Family is a medicated Soup. Teacher- Vizuri sana, tutakutana NECTA. Pumbavu. ... [rs]
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Please be sincere........ You have just come back from work to see 6 rats. [emoji232][emoji232][emoji232][emoji232][emoji232][emoji232] • The 1st rat[emoji232] was eating your highest academic...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Sheikh alikodi bodaboda, wakat wapo safarini akamwambia dereva Zima muziki dini hainiruhusu kuskiliza nymbo za kidunia Kwa sababu wakati wa mtume hakukuwa na redio Dereva akatii...
10 Reactions
12 Replies
3K Views
Unaalika dame date halafu kinakam na maringo,ety oooh!,"...babe hata Sitakula nikitoka home nilipitia CHICKEN POINT nikakula kuku..." We na ugentleman wako unambuyia whiskey ya 3k,,afta kuchapa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hahaha, otea mkuu gani huyu hapa JF? Tapatalk Cloud - Downlaoad File machafuko_n.mp4
1 Reactions
0 Replies
987 Views
MAMBO yanayosababisha baadhi ya makundi ya whasapp kufa. (Inaweza ikawauma wengine lakini ndio ukweli) [emoji129][emoji130] 1. Mtu anaweza akatoa mada na hakuna mtu akachangia na wakati huo huo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Matatizo Ya ENGLISH Medium Kwa Watoto wetu, Siku 1 MTOTO Alichukua Passpot Ya ***** Na Kuisoma Akaona Name : STELLA Place : TANGA, Birth : 1979, Sex : F, MTOTO Akamwambia, "MAMA Hauko Serious...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kule kote ambako huwa napata TAARIFA zangu NYETI na za NGUVU naona tokea niamke Mabeki wameziba njia zote nikimaanisha WAMENICHUNIA halafu na bahati mbaya sana kule ambako huwa nikipita tu naona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya magari ya mwendo kasi kuanza safari zake jijini Dar es salaam, hivi sasa kumeibuka wimbi la picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikionyesha vitu kama wanyama, watu, cartoon n.k...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Kila kitu sasa iko mwendokasi. Gari ya mwendokasi, simu ya mwendokasi, bangi ya mwendokasi, viatu ya mwendokasi, elimu ya mwendokasi, bia ya mwendokasi, treni ya mwendokasi, sasa wapi ntapata...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Mambo vipi ndugu zangu wa jf, mm n mpenzi sana wa nyimbo za zamani, naomba mnisaidie kama kuna mtu ana nyimbo ta mwanzomwanzo za tot taarab mfano gwiji, kijungu, wrong number anisaidie kunitumia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni zaidi ya miaka miwili nilikuwa sijaingia humu... sasa nimerudi naona wajukuu wengi sana na ukubwa umesogea flan amazing.... HODI am back. Missed you sana hasa jukwaa hili
1 Reactions
4 Replies
748 Views
Nakumbuka kipindi najiunga kwenye Facebook na eskimi mara ya kwanza mwaka 2009, nilikua natongoza kila mwanamke na nilifanya sana sex chart enzi hizo. Vp wewe rafiki ilikuaje kipindi icho?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana Jamii Forums....Leo ningependa kujua interest za wenzangu humu JF..Obviously JF kuna Forums mbalimbali kutokana na aspects mbalimbali za maisha na interests tofauti za watu...Naomba...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
1 Reactions
1 Replies
593 Views
Tatizo la lugha bwana..... Mkenya na Mtanzania walikuwa wakitambulishana kwenye mkutano mmoja wa East African Community. Mtanzania: Are you married my brother? Mkenya: Ooh, my wife is an angel...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Wasalaam. Mimi Kirchhoff ni MUME wa Mwanamke Mpole sana na Mnyenyekevu mwenye asilimia 99% za kuwa MKE MWEMA. Nimetenda dhambi baada ya kupa mwili nafasi utawale roho. Nimelelewa katika...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi kama TUNDU LISSU, ZITTO KABWE, GODBLESS LEMA na HALIMA MDEE hawapo BUNGENI. naona BORA wafunge BUNGE wote waondoke.. Ni sawa na kufungua BAR alafu hauna BIA hata moja una SAYONA tu...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Moved to Mahusiano, Mapenzi, Urafiki Forum
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nalazimika kuamini hivyo Baada ya kusikia kuwa nyuma ya kitwanga kuna sakata la lugumi, Hainiingii kichwani kuwa waziri afanye jambo la ajabu la kulewa wakati wa kazi Huku akielewa fika miiko...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…