Kwa wale waliokuwa wakiishi Dar miaka ya 80 mnakumbuka mwaka 1987 kuna jamaa na kati ya Buguruni aliyegeuka kuwa chatu?
Hii stori ilibamba sana kipindi hicho.
Si uzi wa kutumia akili kubwa ni sehemu ya burudani tu!..
Mtag mtu kisha andika sifa yake moja tu jinsi unavyomfikiria kutokana na vile anavyoitumia I'd yake lkn kwa kufuata sheria za jf isiwe...
Nikiwa kama Mtanzania na mzalendo niseme tuu hizi ndio burudani zetu watanzania wengi, na endapo ukaona burudani yako haipo hapo una haki ya kuiongeza kwenye comment, Ready to Go
1. Kusafiri...
Jioni hivi nikawa nazubaa zubaa mtaani kusafisha macho. Nitaenda kupiga stori kwenye kijiwe jirani cha boda.
Nikiwa nimebaki mwenyewe kwa mbali barabarani ikapita pisi moja matata imefungasha. Ni...
Nipo na machalii yangu fulani hivi hapa tunaelekea ofisini. Moja ya mazungumzo NI Kwanini wanaume mnachepuka
Chalii 1: Kama mke wa fulani yaani ni mzuri, anaupendo, ana huruma, mcheshi...
Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila...
Wana JF,
Kwa heshima yote mie binti mzuri mdada nilijiunga JF leo.
Naomba nitoe mchango wangu kwa kutambua uwepo wa wanaume wanaongoza kuwa na mvuto na ushawishi humu ndani ambao ni GENTAMYCINE...
Leo kwenye mzungumzo yangu nilikua naongea na mtu sasa kuna mda nilikua naongea utani akawa anacheka mwisho akaguna akaniuliza ivi ww ni wa rangi gani? Nikamjibu kwa nini, akaniambia nimwambie tu...
Habari wakuu,
Husika na kichwa tajwa,
Pamoja na kuwa hatuwezi kujuana kwa kwa majina wala sura zetu.
Ila katika kuandika kwetu mambo mbalimbali au hoja mbalimbali Kuna uwezekano wa mtu akajua...
Maisha ya binadamu yana njia nying sana ya kumtoa kimaisha.Tunapaswa kujua ni wapi pakutokea na sio kukalili tu mafundisho ya wazazi kuwa soma mwanangu kwa bidii upate alama za juu uwe wa kwanza...
Nimeagiza mzigo wa raba online,huko mashariki ya mbali, .
Box ndio limekuja na LOGO ya kushangaza👆,
Japo raba iko Njema na haina hio LOGO 👆 ya ajabu.
Sasa sijui hawa wachina wamefanya makusudi...