Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askari wa Barabarani ( Traffic Police ) Mmoja huko nchini Kenya amejikuta akiibiwa Simu kwa 'Kuchomolewa' na Kibaka wakati akiwa anaongoza Magari.
Nimewaonya...
Huu Wimbo ni maarufu siku hzi hasa hasa mtaani umeme ukikatika.
Anyway nko hapa Bar tunaimba na kufurahi baada ya umeme kukata.
CCM mbele kwa mbele wataisoma namba weee.!!!
Wakuu leo nimekuwa nikijiuliza hivi dalili za kumendewa na Israel mtoa roho ni zipi?
Pia,hivi israel mtoa roho ni wa Mungu au wa shetani?
Utajuaje Israel kakuandalia visa ya kuzimu au peponi?
Hivi...
Back in the days, miaka ya 80 na 90 mtaani kulikuwa kuna noga sana kwa burudani mbalimbali tulizokuwa tunazipata kama vile kuona:
1. Ngongoti
2. Joyce Wowowo
3. Kibisa kucheza na Nyoka
4...
The lie game.
Ni mchezo wa uongo au kudanganyana, kulishana matangopori ππ.
Lengo ni kuenjoi tu na si vinginevyo.
Comment kitu Cha uongo then utajibiwa Cha uongo zaidi.
Mfano;-
"Nilipokuwa...
kuna kipindi nilikuwa na mazoea ya kunywa hii wine na ilikokuwa inanipeleka ni kunitoa uhai. kun siku nilizinywa za kutosha. nilivyolala nikaamka saa 12 jioni kesho yake huku nikiwa na njaa kali...
Karibuni tuweke mipango jinsi ya kuandamana ili kumpongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kazi nzito na ngumu anayoifanya. Karibuni tuweke mipango sawa.
Kama wewe huelewei huu uzi pita kimya kimya...
Hapa kuna vichwa konki sana sijawahi kuona yaani ukikosa mpigo mmoja tu umefungwa. Mipigo 8 mtu anapeleka mipira yote 8.
Ila uwe vizuri mfukoni watu wanacheza kamari na hawana njaa mtu anapigwa...
Endapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio.
1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream.
2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia...
Jamani dunia Ina Mambo na vijimambo.
Tajiri mmoja nchini Uganda amewashangaza wengi.
Tajiri huyo alikuwa na wanawake 4 kama ipasavyo Suna ya kiislam.
Zamu ya mke mdogo ilipofika akaamua kuwa...
financial services Nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa kipenzi changu.
Allah akujaalie maisha marefu yenye baraka tele. Unapendwa na utapendwa daima mrembo wangu wa nguvu.
Baada ya kuja kuomba ushauri huku kuhusu dada na bikra yake Dada anataka nimtoe bikira yake kumbe yupo humu na ameona uzi wangu, muda si mrefu nimeongea nae kaniambia kwa kuwa nimemweka hadharani...
Habari wanajamvi, nadhani mtakuwa swalama.
Nimeona nije na huu uzi kwa maana juzi juzi nilikuwa maeneo ya Dodoma.
Jamaa mmoja akawa akisema kuwa wanawake wenye miguu myembamba wameonekana wakiwa...
Wakali wa bata nipeni suggestions za place tulivu za kujiachia.
Nataka kutumia weekend hii kula bata man alone.
Sehemu ziwe zile classic zisizo na vurugu kuwe walau na muziki mzuri na warembo...
Hi guys....yeah sawa na kichwa cha habari hapo juu, hizi hapa ni baadhi ya comments ambazo zilinivutia sana kutoka kwa members mbalimbali wa jf.....
1) Ukitaka kuiharibu jamii yoyote mwache...
Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla.
Ni hayo tu kwa leo.
Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII