JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya kujuana, tuelezane ni kwa nini which is which. i.e kwanini umependelea kutumia App ama website Kama ni App utujuze ni old version au Latest version Binafsi natumia Old Version ya...
3 Reactions
11 Replies
489 Views
Ulizeni maswali tuwajibu Tumekaa pale[emoji117]
2 Reactions
9 Replies
403 Views
Ukihitaji salamu subiri kwanza nilipwe Milioni 1 yangu,Tofauti na hapo utaula wa chuya! Watanzania tuko milioni 60,kwanini serikali isilitulipe kila mtanzania milioni 1 kila mwezi?,Mbona ni hela...
15 Reactions
92 Replies
4K Views
Hivi wale ma papaa na mapedezhee waliokuwa wakitajwa kwenye nyimbo za wacongo wameishia wapi? Kipindi hicho (awamu ya 4) kulikuwa na club nyingi sana zenye live band na wasanii maarufu wa muziki...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
I place the end of my brush in the middle of the nail, a few millimeters from the cuticle (look at the light blue line, that's roughly where I place the brush). I push/wiggle the brush right...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samaleko, Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na...
54 Reactions
439 Replies
10K Views
Mwanamke mrefu anapenda mwanaume mrefu. Mwanamke mfupi, anapenda mwanaume mrefu, Sasa mwanaume mfupi atapendwa na nani?
6 Reactions
34 Replies
3K Views
1. Hakikisheni mmewahi / mnawahi Kazini Kwenu na ikibidi fanyeni hata zile Kazi ambazo unajua siyo zako 2. Kiwango chako cha Nidhamu Kazini leo kiwe ni cha maradufu 3. Hata kama huwa una Utani...
3 Reactions
3 Replies
354 Views
Oya washkaji uzi gani una comments/replies nyingi? Kwenye pitapita zangu, nimeona ule Uzi wa Manchester United una replies kama 190k hv na wa arsenal una 140k approx. Uzi wa "Mikeka"(betting)...
3 Reactions
11 Replies
843 Views
Habari wanajf The fact kwamba jf watu wengi ni anonymous, inawafanya wanatumia majina ya ajabu sana. Kuna majina jf ukiyasoma unaweza cheka, kushangaa au kufikiria sana, Pongezi kwa wanajf...
20 Reactions
126 Replies
6K Views
Wimbo wenyewe ni ule usemao....Amerudi analia eeeeeehhh....Huruma....eeeeehh....Huruma...... Kuna nini labda Kimejitokeza Tanzania kwa leo ili nami nijue / nikijue? Kudadadeki.......Kimya leo...
0 Reactions
3 Replies
534 Views
Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na...
1 Reactions
2 Replies
358 Views
Wakuu Gentamycine yuko wapi? Mbona simuoni? Thread zake mbona kimya na Gentamycine wala hata simuoni shida ni nini? Please moderator mwachieni Gentamycine aisee tuzione thread zake humu jukwaani...
2 Reactions
13 Replies
918 Views
Naona aibu kujiita Mtanzania mbele ya Mataifa mengine kwasababu nchi yangu ina tatizo la umeme lisilokwisha zaidi ya miaka sitini. Naona aibu ya kujitambulisha kwasababu nitachekwa na nchi...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu, kwa wale ambao mlishatembelea fukwe za ununio aisee ni nzuri balaa kuna lounge za kibabe sana maeneo yale natarajia hii game ya Arsenal na Manchester city niende kuitazama katika fukwe...
1 Reactions
1 Replies
263 Views
Haya mkujeee nasema mkujeeeeeeeeee mimi nikiambiwa napelekwa Santorini jamaaani,natoa yoooooooooooooooooteeeeeeee
3 Reactions
52 Replies
2K Views
Tayari nimemaliza kuandaa Playlist ya nyimbo ntakazokuwa nasikiliza kwenye gari langu. Sasa nahitaji kununua gari lenyewe.
7 Reactions
24 Replies
1K Views
Ilikuwa ni alhamisi wiki iliyopita nikiwa Mbeya uyole niliona kitu cha kushangaza. Leo nawaletea hapa. Siku hiyo nikiwa stend uyole mbeya nikisubiri gari za kwenda Dar maarufu "hakuna kulala"...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu salaam Ni almost miaka mitano namfuatilia huyu jamaa(kijana mwenzangu) anaitwa Fredrick marwa almaarufu (iam_marwa kule YouTube na Instagram) Huyu jamaa Ni mkenya anatokea Kijiji Cha...
1 Reactions
3 Replies
556 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…