JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimefanya utafiti kwenye familia 600 za Kihindi lakini hamna hata moja yenye wake wawili. Nimejaribu kuuliza lakini sijapata jibu. Wiki ijayo nitakutana na Balozi wa India nitamuuliza hili swali...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakali wa salamu, walikuwa ni hatari sana kupiga simu namba 2700588 ya radio one na kusambaza upendo.
9 Reactions
75 Replies
3K Views
Picha yajieleza!! Hakina hayo maua ukiambiwa gharama zake kama una akili timamu utaweza kulia
6 Reactions
16 Replies
946 Views
Kikao cha wanaume kimeisha salama jana.. Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya.. Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari! Vipi jamani na kwenu imekuwa kama Mimi hamjaoana nyongeza hata Senti moja au ni Mimi tu? Thanks
3 Reactions
16 Replies
730 Views
Kwa wale movie addicted msiache kupita haka kauzi nitakua natupia muvies cover mupyaaaa.. Kati ya hizi umeona muvi zipi?
8 Reactions
166 Replies
22K Views
Huku mjini ni kugumu sanaa wazee, sio kuzuri kuja pekupeku aisee, utahaibika 😂😂😂😂
3 Reactions
17 Replies
704 Views
Haya haya sasa, mimi kila nikiamka asubuhi, mume ananiambia morning babes! I love you, na mabusu tele, mwaaaah! Sasa sijui upande wako ukiamka kunakuwaje? Unaamka na stress za kausha damu...
4 Reactions
160 Replies
4K Views
Salaam/Shalom. Natumai mu-wazima kabisa, kama mimi vile nilivyo pia. Lakini huwezi kujua mtu ambaye hamjawasiliana muda mrefu sahizi anaendeleaje...? Watu wangapi hujawasiliana nao kwa kipindi...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Mimi ningachagua kuoa Rwanda. Kila mtu anajua maua yaliyopo kule. Wewe ungechagua wapi?
4 Reactions
21 Replies
1K Views
https://youtube.com/shorts/m3V0DrNdKns?si=zE3dCx52pGD7Dx3A
1 Reactions
1 Replies
365 Views
Ni saa 22:09 nimeangalia juu nimekuta mwezi upo spidi kuelekea chini ukiwa na rangi nyekundu tii. Upo spidi kiasi cha kushindwa hata kwenda ndani kuchukua simu yangu na kuurekodi. Mikoa ya...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Hapa nilipo nimepoteza hela wakati natoa simu, kawaidi ukishapoteza hela huna haja ya kurudi kutafuta tena.
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza. Binafsi namomba sana mwenyezi mungu anijalie afya njema kabsa nitafute hela kwa bidii ili siku moja kabla sijarudi mavumbini basi...
1 Reactions
14 Replies
586 Views
Habari mwana JF. Smart phone yako ya kwanza kutumia (kununua, kununuliwa au kupewa) ilikuwa aina gani? Binafsi ya kwanza kununua iliitwa xbo😀 Ilikufa baada ya mwezi mmoja.
6 Reactions
80 Replies
2K Views
Wana JF Ni ka mudaa Sasa kamepitaa Baada ya mifuko ya Rambo kupigwa marufuku. Mapakaa nishaanza kusahau inafananaje. Anyway Kama unataka ujikumbushie jinsi ilivyo, na inatumikaje i ngia Youtube...
2 Reactions
5 Replies
779 Views
Wamama mliozalishwa mtoto wako wa kwanza. Ebu mpe neno huyo mwanaume aliyekupa hiyo mimba ya mtoto wako wa kwanza!
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Ahahahaha Tumieni vizuri hizo annual increment, msimalize kwenye ulevi na zinaa. Nunueni hata tukuku mle, inakuwaje mtumishi unamaliza miezi 6 hujala kuku wa kienyeji😭😭😭
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Na tukizinywa hizo tutakuwa na Hasira hasa katika Maongezi na Majibu yetu huku tukizidi Kukaza Macho na Kurembua kwa sana. Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
2 Reactions
2 Replies
392 Views
Humu kila mtu anarafiki yake sio mpenzi au mchumba ni mtu mliyeshibana wataje au mtaje. Mie marafiki zangu ni wowote wale wanaonisema vizuri, kunijali Goood day
15 Reactions
336 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…