Wakuu hali zenu,
Nimechanganyikiwa kidogo baada ya mfululizo wa matangazo ya magodoro. Je, lipi ni bora zaidi? Nataka nitafute 6x4, sasa sijui lipi litanifanya niote vizuri.
Shukrani
Salaam wakuu, naamini kila mmoja ana watu ambao wamekuwa wakimpa kampani au kuichangamsha siku yake hapa JF Kiasi cha kutengeneza muunganiko baina yenu, kama team ya mpira au jeshi.
Ambapo...
Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na...
Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada, kuna mambo ambayo sisi wanaume tuna yafanya na yamekuwa kero sana kwenu ila mnashindwa kutuambia.
Leo tupo hapa kusikiliza vitu ambavyo huwa tuna wakera...
Leo nimevaa Gongoti nitanazungukaa mitaa kadhaa ya Dsm, kama ukiona gongoti Leo ujue ni Mimi big thinker najaribu kupima uwezo wangu wa Miaka 15 iliyopita.
Nimevaa miwani ya rangi ya njano. Nyuma...
Niaje mdau unayesoma huu uzi, kama kichwa cha habari kinavyosema unahisi watoto wetu watatumia maneno gani kama misemo iliyosemwa na watu tuliopo kizazi hiki.
Weka comment yako chini mtu wangu...
1:Demiss
Huyu atakuwa na Chura flani hivi amaizing imebinuka kwa juu ambayo mtoto wa kiume ukiingia kichwa kichwa lazima uliwe hapo maana huwezi kuchomoka,
Nafikiri wanateseka sana wale...
Kama unakumbuka kukojoa kitandani ni kashikashi zipi ulipata by that time..mimi nakumbuka nilikuwa napigwa na kuambiwa nitoe matandiko huko nikila fimbo!
Raha niliyokuwa naipata nipale niliota...
Wanaume tulipaogopa muhimbili sana kutokupima magonjwa. Idadi ya wanaume imeongezeka muhimbili kila kukicha. Ni muda sasa wa kuwaleza wale madaktari wa sudani chimbuko lao lilitokea temeke sudani.
Nimekuwa nikifuatilia habari za kupotea kwa submarine inayomilikiwa na OceanGate iliyokuwa ikifanya safari yake katikati mwa bahari ya Atlantic kuelekea chini kabisa kwenye kina kirefu kutazama...
Mtu mjinga ni yule anayenyang'anywa mali huku akicheka pasipo kujiuliza kwanini amenyang'anywa.
Mtu mjinga anamiliki mali nyingi lakini anaruhusu mali hizo kuharibiwa na maadui na hata...
Wahenga walisema, kua uyaone. Humu jamvini hutangazwa ndoa baina ya flani na flani, lakini kumbe huwa ni ndoa za jinsia moja bila ya wenyewe kujijua. Makubwa!!!! Yaani kumbe Evelyn Salt ni DUME!!!!!!!
Wakuu naulizia lodge nzur kwa Bei ya shilingi kuanzia 15000-30000 maeneo ya Tandika, Sudani, Hospital, Pire, Temeke Mwisho, Mtongani, Kwa Azizi Ally anaefahamu nzuri anambie
Leo nimekumbuka baadhi ya incidents zimenifanya nicheke sanaaaaa baada ya sista duu mmoja kujamba akiwa usingizini tukiwa kwenye foleni ofisi Fulani
Nivyonunua kiredio changu mara ya kwanza miaka...
Wanaofanikiwa duniani sio wenye akili na nia pekee, wenzio wana miungu yao.
Wewe una Mungu gani?
Kusini unaweza ukawa na juhudi ila ukaishia kufanikisha wenzio ambao hawaangalii.
Kuna uchawi wa...
BIla kupoteza muda niende Moja Moja kwenye mada.
Hawa wanawake wenye nyash walahi wanaweza wakakuacha Unatokwa udenda.Alafu asiwe na kitambi sasa unaweza ukahisi unatembea peponi kumbe upo...