Habari wana jamvi naomba tujikumbushe nyuma kidogo, maisha ya shule ya wakati uleee
Nakumbuka wakati namaliza shule ya msingi mwaka 1989 nilikuwa na miaka 16. Nilionekana mdogo sana darasani...
hi all members of jf, kuuliza cyo ujinga bali ni kuongeza new knowledge to existing knwldg, nmejaribu kusoma post na comment nyng nimeona neno PM bt cjaelewa lina maana gani na linatumika in whch...
Imagine a beautiful girl fainted and you took her to a hospital. Doctor says, congrats! youll soon be a father!
YOU GET TENSED! You say, but that baby is not mine.
Girl says, he is the...
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha,
kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja
akaingia,
akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara
ya
msalaba akaanza kuungama.
== "Padri naungama...
INBOX SMS ZA MSICHANA KWENYE SIMU
Frank: I love u gal.
M pesa: You have received 15,000 kutoka kwa John
Tesha.
Bodaboda: Unajua nahisi km nataka nikutoe diner leo.
100: Umepokea muda wa maongezi...
Leo majira ya mchana nikiwa natokea Gymkhana Club kupitia Ghana Avenue nilikuwa nimefuatana na Rav4 moja ya rangi ya kijivu ikiwa mbele yangu, tulipokatibia makutano ya Ohio tulikutana na jam moja...
Madame B na Mtambuzi tumeshawasili........ananicheka eti kufika tu naanza kufakamia Dompo.
........kwa mbali unawaona Paloma na amu.....
Kipaji Halisi hebu changamka bhana.........umekuja...
Ili sikika sauti ya mwanafunzi akisema jamani mwalimu(ke)......... anakuja, baada ya dakika kama mbili hivi daras lote lilikuwa kimya maana huyo mwalimu aliye semekana anakuja darasani kwakweli...
.
SABABU YA NYANI KUKOSA NGOZI MAKALIONI
Hadithi hadithi...
Hapo zamani kidogo mbwa alikosea njia akaingia mbuga ya wanyama ya Serengeti, simba akamuona kwa mbali akajisemea,
"Haka tena...
Habari zenu wana Chit Chat...Poleni na Swaum kwa wale ambao mpo kwenye Mwezi huu mtukufu.
Naombeni kuuliza maana nimeona thread moja hivi watu wanalalamika kuwa watu wanatongoza baada ya...
Habari wanawaarusha!!!!!!!!!
home sweet home............
nimeingia jana hapa mjini , na jana nilikuwa SK Bar , Baadae nikawa Moonlight Bar........
leo sijajua itakuwaje , kwani mpaka sasa nipo...
Mwamba wenye imara,kwako nitajificha.
Maji hayo na damu yaliyotoka humu,
hunisafi na dhambi,hunifanya mshindi.*2
kwa kazi zote pia,sitimizi sheria,nijapo fanya bidii nikilia na kuzii hayaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.