JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
No money no love,no tittle no love,not handsome/beautifull no love,jaman now a-days kuna ile 100% real love?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Imagine, Nimeamka asubuhi mvua inanyesha, Kutoka kwangu mpaka kituoni ni kutembea kwa dakika tano, Nimetafuta mwamvuli ndani sipati kwasababu haujawahi kuwepo, Haya nimejitolea kuloa kwa hizo...
6 Reactions
89 Replies
5K Views
Hivi hii tabia ya chagulaga bado ipo kweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nko smwea nikasikia hii kitu.. Eti kuoa kuoa ni kawaida ila kuoa mchaga is an added advantage.. Dah nimecheka sana. Nimefikiria inawezekana ikawa kweli.. Ila siko sure sana. GT'ers is ths true...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
MME: Natamani sana iwe hivyo. MKE: Vipi, wataka niondoke? MME: Hapana hata kidogo. MKE: unanipenda? MME: Ndo maanake. MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu? MME: Siwezi huo upuuzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
"kuku wakijua kutumia condom tutakula chips kavu mwanzo mwisho"
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Wapendwa wanajamvi habari zenu, Ni matumaini yangu kuwa afya zenu kiroho, kiakili na kimwili pia hazina mushkeli, binafsi niko safi kabisa baada ya pasaka hii. Ningependa nianze kwa kutoa pole...
12 Reactions
94 Replies
6K Views
nimekaa zangu hapa kibarazani sina mchongo wowote hela sina nawaza nipige mchongo gani nipate pesa mara simu yangu ikaingia namba ngeni Kupokea nikaskia sauti tamuu ya mtto wa kike daa nilidata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JUU YA NINI NIANZE KUFUATA FUATA WAKE ZA WATU KAMA WENGI WANAVYONIHISI HAPA?? WANAWAAKE WOOTE HAWA NIANZE TU KUFUATA MUKE YA MUHAYA?? NO WAY SHE IS NOT MY TYPE
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hayuko serious!!!!!!!!!!! Simu ya binti inaita ngriiiiiiiiiii ngriiiiiiiiiii. Binti anapokea. Jamaa upande wa pili akaanza: Jamaa: Haloo mpenzi, vipi hali yako? Binti: Kichwa kinanigonga si...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
1. Kibanga ampiga mkoloni. 2. Siku ya gulio katerero. 3. Chilunda apambana na chui. 4. Ndoto za Kimweli. 5. Pamela na kipin. 6. Watoto wageuka mawe. 7. Brown ashika tama. 8. Lindu amuokoa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1.Mwajuma ndala ndefu 2.simba mzee 3. uwauwa 4.saidia masela 5.voda fasta endeleza.....
0 Reactions
56 Replies
11K Views
Mwana mke hata akiwa baunsa hawezi tembea kifua wazi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa ubishi wako najua utabisha ila kweli ni kwamba JET LEE, BLUCE LEE na SUMA LEE ni ndugu wote ni watoto wa mzee SHANG LEE
0 Reactions
3 Replies
2K Views
YNNAH karibu sana Arachuga, mimi kesho naondoka kwenda Dar ila Ntarudi, kuwa makini mji mtamu huu na wenyeji wakarimu sana akili ku mkichwa Hope mtoto anaendelea vyema tutaendelea kumwombea apone...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
My love for you is a journey. Starting at forever and ending at never.
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Ndugu zangu hebu tupia janga lililokukuta kati ya haya yafuatayo na ulijinasua vipi? 1. Ukiwa main speaker halafu sehemu za siri zinakuwasha balaa! 2. Upo kwenye basi unaelekea mkoani pembeni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kimejieleza...yani baada ya kula hela zake sana leo kanibana sana!kasema anakuja gheto.so nataka nimkoshe .....nitupie kinywaji gani ili anikumbuke hadi kwa mumewe?
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Kuna mama mmoja alizaa mtoto na mchina kisha mtoto akafariki baada ya miezi michache.wakiwa msibani wanalia alisikika jirani yake alikuwa anamfariji akisema:-shoga nyamaza si unajua vitu vya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wakuu bange ndo hiloo bi kidude ndo kingozi....kaeni chonjo.....silly season.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom