JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Namshukuru mungu kwa kunitangulia na kunifikisha Arusha Salama. CC Arusha wing am in your town for 3 days . CC Dar nishaondoka huko, thanks to the rain maana jua joto si kulieksipirience sana.
0 Reactions
66 Replies
4K Views
Habari Wadau! kwanza naanza na samahani kwa wadada watakao kwazika nahili. Mimi sijui ni kwanini lakini huwa najikuta siwezi kununua mahindi ya kuchoma kwa wachomaji wanawake.Huwa naona kama...
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Kesho jioni nina mpango wa kuwa mjini Arusha baada ya kazi kuniweka porini kwa wiki nzima. Sasa wana JF wa Arusha si tuambizane wapi pa kwenda na kukutana kesho jioni kuelekea usiku! Siombi offer...
3 Reactions
65 Replies
3K Views
Jamaa katembelewa na kifo mambo yalikuwa hv; kifo:leo ni zamu yako nimekuja kukuchukua, si unaona kwenye list jina lako ni la kwanza? jamaa: sw basi karibu chakula ule ulale asbh ndo unichukue...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Changamkia hii
0 Reactions
5 Replies
2K Views
watu wote tunaishi kwa bajeti ila hii kiboko. Mkinga mmoja alitumbikia kwenye kisima cha maji akapiga kelele,Mkewe akaja na kamba mpya akamrushia,mume akauliza "umenunua shilingi ngapi"? Mke...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi ngoja niwaulize wadau wenzangu.Kiukweli sigara na mchaga ni nani anatoka moshi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu wawili, mwanamke na mwanamme walikwenda kwa daktari mtaalamu wa mambo ya uzazi. Daktari akawauliza, "Ninaweza kuwasaidia nini?" Mwanaume akamwambia, "Tafadhali daktari unaweza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je, wajua kuwa vitu vitamu huanza na herufi "K" mfano keki, kitumbua, kababu, karanga,Kuku, kitimoto, kalimati, TAJA KITU KINGINE KITAMU KINACHOANZA NA "K"
4 Reactions
134 Replies
8K Views
Habari zenu! Kwa mara ya pili nimefanikiwa kutembea kutokea Mbagala mwisho hadi Mbweni ( masite ). msizoe sana kutumia magari, mkumbuke kutembea napo ni mazoezi. 'Ubarikiwe na siku yako iwe...
3 Reactions
129 Replies
6K Views
Afukuzwa hotelini, na kupigwa black list asikanyage hotelini hapo, mwenyewe adai binti alitaka kumbaka wakati alipokwenda kumtandikia kitanda.. Ahamia logde maeneo ya Pasiansi..... More update to...
13 Reactions
153 Replies
13K Views
Jamaa alienda kuomba kazi ya ulinzi akaambiwa awe amemaliza kidato cha 4 na awe anajua kiingereza Naye akawauliza kwani wanaokuja kuiba ni wasomi au wazungu?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF mimi ni mgeni nataka kuwa salimia. Kwa walio nizidi umri Shikamoo Kwa vijana wenzangu Maboooo Kwa muda mrefu nimekuwa na soma trend mbali mbali kwa ujumla nimefurahi sana kuona ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
LAW OF QUEUE: If you change queues, the one you have left will start to move faster than the one you are in now. LAW OF TELEPHONE: When you dial a wrong number, you never get an engaged...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakiwa ndani ya kanisa mtoto alimuambia mamake,mama nataka kukojoa..mama akamjibu hio sio njia nzuri ya kusema.wakati mwingine ukiwa ndani ya kanisa na unaskia kukojoa sema unataka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo yanaendaje waungwana? Mbele yenu ni Nakadori kutoka mkoa wa kilimanjaro, naomba uniulize chochote kuhusu mimi iwe kuhusu mapenzi, uchumi, elimu, na mengine yoote nami nitakujibu kwa ufasaha...
3 Reactions
304 Replies
14K Views
Niombeeni,hali yangu ya kiafya si njema hata kidogo!!
0 Reactions
68 Replies
4K Views
SHOCK at ICC as 8 WITNESSES refuse to testify against President –Elect UHURU KENYATTA. Panic and anxiety gripped the offices of the International Criminal Court (ICC) on Monday, after 8 key...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1 Reactions
1 Replies
676 Views
Back
Top Bottom