Sasa wenzangu wanaJF, naogopa hata kulizungumzia hili tukio maana ni kikao kilichonipa aibu hata ya kuonesha sura yangu hadharani kimataifa maana imekaa kikwetukwetu vile
Hebu sikia hili...
Zuzu alikuwa anatembea ghafla akaona kitu kama mavi akayagusa na kidole alafu akayalamba..... Akasema duuuh kumbe ni yenyewe NASHUKURU MUNGU SIJA YAKANYAGA!!!!!
Hebu niambie, ingekuwa wewe ni mwalimu wa chekechekea halafu vitoto viwili unavyovifundisha, cha kike na cha kiume vikaja kukuuliza: "Eti mwalimu, watoto kama sisi tunanaweza kupata ujauzito?"...
Mpemba mmoja alikuwa akimfundisha mwanae wa kike, mambo yalikuwa hivi,,, mpemba:mba,mbe,mbi,,,,mbu! mwanae: mbona umeruka baba ulipofika mbi? mpemba:hiyo niliyoruka utafundishwa na mumeo!
Shikamoni wakubwa zangu.
Habari zenu vijana wenzangu.
Natanga rasmi kua sina tena mahusiano na Suprise wala Rich woman
Kuanzia sasa nitakua na Nitakua na mimisa ambae siku si chache...
Husband texts to wife on cell..
"Hi, what r u doing Darling?"
Wife: I'm dying..!
Husband jumps with joy but types "Sweet Heart, how can I live without U?"
Wife: "U idiot! I'm dying my hair.."...
Hizi ndio sifa za kila mkoa Tanzania!
DAR-Utapeli
ARUSHA-ustaarabu
MBEYA- matukio ya ajabu
MWANZA-fujo
TANGA- mapenzi
MORO- Starehe
DOM- kuomba
IRINGA-kujinyonga
RUVUMA-pombe
RUKWA- uchawi...
jamaa alipita sehemu isiyoruhusiwa katika kambi ya jeshi na akapewa adhabu ya kuamisha tofali 1000! jamaa akajitahidi akabeba tofali 900 na akawa hoi!Na ghafla akakumbuka kuwa mkuu wa kambi ni...
Jinsi ya kujua simu uliyo nayo ni mchina:
1. Battery inajaa baada ya dk.3
2. Simu ina redio,tv,microwave oven,kikata kucha,mswaki,kiberiti cha sigara n.k.
3. Waweza kuchapa meseji zako kwa...
asleep already he
90210 Season 5 Episode 17 shielder Bud Dearborne can't additional the force to arise for anyone all-embracing organisation bureau is already asleep already he The Bachelor...
Tende ndio jina lake wala lisikusumbue.
Ni la ajabu umbo lake pia na utamue.
Utamu na ladha yake tofauti na rangie.
Ni kubwa haiba yake mlaji ndio ajuae.
Ni laini nyama yake watamani ujilie...
MLEVI mmoja alioa mke. Mkewe
alikuwa hajatulia hata kidogo.
Siku moja mkewe akiwa anajivinjari
na msela, MLEVI akarudi home
ghafla. mkewe akamwambia yule
msela
Usiondoke, lala hivo hivo mume...
Tatizo ni pale:
- Unapoenda kwenye intavyiu ya kazi unakuta boss ni jamaa ambaye mlishawahi kugombana mahali flani.
- Unapoandika status Facebook "Asante Mungu mshahara umetoka" halafu mwenye...
Kijana aliamua kujiuwa baada ya kuharibika uso (reception) yake kutokana na ajali. Alipofika horofami ili ajitupe na afe, alimuona jamaa hana mikono na anacheza cheza. Akawaza mimim uso tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.