Mwizi mmja alisomewa staka la wizi wa simu mahakamani leo, hakimu akampa nafasi mtuhumiwa ajitetee na alijitetea kama hiv. Mwizi;~nilikuwa napita barabarani...
ni kwenye BONGO MOVIE pekee....leo naanza na 10.....
ni kwenye BONGO MOVIE pekee,flashback ya miaka 6 nyuma hafu unakuta wahusika wana simu za Iphone na Galaxy,laptop za Apple...
Imethibitika kwamba ,Majina ya watu, vitu, mahali na /au hali yanayo anza na herufi L yamekuwa na nguvu za ajabu sana kuliko herufi nyingine yoyote ile. Nguvu hizo zinaweza...
Once all the scientists die and go to heaven. They decide to play hide-n-seek. Unfortunately Einstein is the one who has the den......... ..He is supposed to count upto 100...and then start...
Adam na Eva
wangekuwa WACHINA
dhambi isingekuwepo
maana badala ya kula lile
TUNDA wangemla yule
NYOKA!!
Tatizo walikuwa wazungu
wanapenda MATUNDA
wakatuponza!!
ebu ona 2navo pata shida.
if u...
Habari wanachit chat!
Swali hili limelekezwa zaidi kwa wanaume! Nimexperience sana swala la kubambiwa kwenye daladala na huwa nakereka sana. Swali kwa wakaka!Hivi huwa mnapenda,inatokea tu, na...
Baada ya kuingia kwa Dr. (Agemate wake marehemu baba yangu)
Dr.Iwe.: Karibu mrembo, nini tena?
Me: Shikamoo Dr
Dr Iwe: eeh shida gani?
Me: najisikia dhaifu, kichwa na shingo vinauma.
Dr Iwe...
Hapa nikitambika kwenye kaburi la Captain Selous, nimeambiwa huyu mzee alijitolea katika Jeshi la Mwingereza ili kumuangamiza Mjerumani... (Picha zaidi nitaweka baadae)
Msinitafute mtandaoni...
Jamaa aliingia msikitini na panga mkononi huku jasho likimtoka, Akauliza "nani muislamu humu ndani? Wote wakauchuna. Jamaa akarudia tena "nauliza nani muislamu humu? Wote kimyaaaa. Jamaa akamshika...
Leo watoto wenye umri kuanziamiaka mitatu kushuka chini wanaandamana kuelekea wizaraustawi wa jamii kudai kuibiwa jina lao "BABY" na kupewa watu wazima wenye ndevu kila sehemu wanaitana BABY...
Mwalimu kaingia class akiwa na daftari la nukuu, akafunua na kuanza kuandika ubaoni:
Mchele sh. 34,000/-
Unga sh. 26,000/-
Maharage sh. 15,000/-
Pango sh. 150,000/-
Karo sh. 250,000/-
Mafuta...
Habarini wanaCC,kwa taarifa fupi nilizopata kutoka gerezani(BANN) Mwenyekiti wetu Baba V ameamishiwa gereza la KASUNGAMILE kule wilayani Sengerema,na lile gereza linasifika kwa KULIMA...
Dar ni mji mkubwa sana kiasi kwamba wengi wetu hadi tunakufa sehemu nyingine za mji huu tutazisikia redioni. Kutokana na ukubwa huo Dar haifanani hata kidogo. hebu tupe tathimini yako wapi...
Once you find symptoms of CCMonia sickness such as 2lithubutu na 2nasongambele or 2vumiliane..., immediately take Chademaquine tablets and surely U will be cured! Chademaquine tablets are...
Spika: Kuna mtu amejamba humu ndani!
Lisu: Atakuwa pinda huyo mheshimiwa!
Mbowe: Naomba mwongozo wako mheshimiwa Spika, kanuni ya 64, ibara ya 3a inasema kwamba "Mtu akijamba katikati ya kikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.