JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Don't make a woman cry. There is nothing expensive in the world than a woman's tear.. When a drop of tear comes out of the eye, it first mixes with a loreal eyeliner and dior mascara . When it...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Uvumilivu umekwisha nani anitulize hebu njoo mdada njoo,ctaki kuvunga njoo.
0 Reactions
115 Replies
6K Views
Baada ya wiki mbili za haarusi Mama mtu alimuuliza mwanawe wa kike, Vp maisha ya ndoa? mtoto akajibu Duh! mama kama British Air Ways, mama mtu akatoka mpaka AIRPORT akaenda kuangalia ratiba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alizamia kwenye semina ya wasomi iliyofanyika Ubungo Plaza. Muda wa kujitambulisha ukafika. Wa 1, Naitwa John Jackob niko UDOM mwaka wa 2 nasoma shahada ya SHERIA. Wa 2, Naitwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waha watatu walienda kwa ndugu yao, walipofika kwa ndugu yao mjini wakapewa soda, walipoondoka mmoja akatia kizibo mfukoni,baadae akamnong'oneza mwenzake,mwenzio nimechukua mbegu vp ww?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
wasalamu. je wajua mambo yasababishayo laana? Yapo mambo mengi yanayoweza sababisha laana,leo naomba kila mmoja atupia walau moja tu. Mimi nasema Kunyoa denge(kiduku) na kuchora...
1 Reactions
99 Replies
5K Views
IKIWA JAMII FORUMS = HOME OF GREAT THINKKERS JE FACEBOOK = ????????? PIGIA MSTARI JIBU.:rockon:
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wishing you a day filled with goodness and warmth, Wishing you happiness… today and forever, Happy Women’s Day!
8 Reactions
37 Replies
5K Views
0 Reactions
13 Replies
966 Views
Umapowasha simu yako ya NOKIA (orijinal) kunajitokeza picha ya mikono miwili inayoshikana . Sasa niambie hiyo ni mikono ya akinanani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa wanaChitChat?? Awali ya yote napenda kutoa shukrani zangu za kwa Uongozi wa Jamii Forums kwani bila wao kutoa ushirikiano shindano hili lisingefanikiwa. Kama muonavyo...
13 Reactions
144 Replies
7K Views
habari zilizo nifikia hivi punde kwa wale wanaotumia barabara ya morogoro road imefungwa kutumika leo,serikali inawaomba radhi kwa usumbufu utakao tokea kwani kuna babu anajifunza baiskel
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi uchaguzi wa Kenya lini?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maiti moja ya kichaga ilivalishwa suti moja manatata sana na kuwekwa kwenye sanduku moja la kifahari mno. Mmasai akapewa kutoa neno la mwisho kwa marehemu baada ya watu kuaga maiti. Akaanza...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
In a trial, a Southern small town prosecuting attorney called his first witness to the stand. The witness was a grand motherly, elderly woman. He approached her and asked, "Mrs.Jones, do you...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Namshukuru sana Mungu kwa wema wake leo hii tarehe 07/03/2013 amenipatia mtoto wa kiume. Nawashukuru wote mlioniombea maana amejifungua salama
11 Reactions
96 Replies
6K Views
MCHAGA NA MBINGUNI WAPI NA WAPI? Mchaga alipokufa aliulizwa na MALAIKA: "kushoto kwako ni peponi, kulia ni Jehanam. ungependa uende wapi?" MCHAGA: Nitabaki katikati ya pepo na Jehanam MALAIKA...
10 Reactions
6 Replies
2K Views
Hata Gari ijae vipi LAZIMA dereva apate seat Hata jogoo asiwike LAZIMA kukuche ......................LAZIMA........................
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kosea njia Usije koseaa Kuoaaa!!!!!!!!!!
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Mimi nashika kalamu, kutaja vitu vitamu, Mbunye imezidi hamu, katika hii duniaaa. Kuna zile za wazungu, zimekaa kama kungu. Katikati ni nyekundu, daima ntazitumiaaa. Na zipo za Kiarabu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom