kwa wale walevi ni muhimu kwenu kujua kuwa kuna bia yenye kilevi cha ukweli.waingereza wametengeneza bia yenye kilevi cha asilimia 65 na hivyo kuvunja rekodi ya dunia.
Kazi kwenu wazee wa viroba!
A .. HARD-DISK Woman: She remembers
everything you say and do,FOREVER.!!!
B... WINDOWS Woman: Everyone knows that
she can't do anything right, but you
can't live without her.
C... EXCEL...
Kwa mara ya kwanza jana nimerudi kutoka Nairobi Kenya, nilikuwa sijawahi kusafiri nilikuwa napasikia tu kuzuri sana kuna maghorofa mengi sijui Shinyanga yetu itaifikia lini Nairobi, hata nikifa...
{BINTI}:Mama,mi nina mimba. {MAMA}:Imekuwaje mwanangu mpaka unatuletea aibu kama hii kwenye familia yetu?. {BINTI}:Nisamehe mama,ni ajali tu bahati mbaya. {MAMA}:Kwa hiyo ulipata ajali tu,ulikuwa...
Wakati polisi wakiendeleza libeneke kwa walioandamana jijini hivi karibuni, sheikh mmoja aliposalimiwa asalaam aleikum kwa mshangao mkubwa alijibu kwa sauti 'milele amina' na kisha kuchapa mwendo...
Five Rules For Men To Follow To a Happy Life:
1. It's important to have a woman, who helps at home,
who cooks from time to time, cleans up and has a job.
2. It's important to have a woman, who...
1. The husband is always right
2. The husband is always the master of the family even if he doesnt work
3. The wife must ask for permission from the husband before going in bed as well as before...
Wajumbe hv ni nani aliyetangaza kama mi ndo niloleta rick rossy bongo yani mmenikera sana nilikuwa na mpango wa kuwaleta cash money wote ıla ctaweleta mmekera sana wengine rozyy aliondoka...
Nitamu sana pindi ukiipata, ila kuipata kwake ufanye kazi ya ziada kweli kweli
1. Kuipata ni shida maana ni tamu thanaaaaa
2. Unapaswa uwe na maneno matamu yenye ushawishi
3. Uwe mvumilivu na...
ndan ya mel watu wa makabila tofaut walikua na mizigo mel ililemewa ikabidi kila mtu apunguze mzigo.Mzungu aka2pa computer akasema kwe2 zipo tele,mchina akatupa simu akasema kwetu hizi zipo,mmasai...
Msaada wa mawazo, maelekezo, maoni na ushauri nitauzingatia, kwanisijawahi kupanda treni; tangu niletwe kwa msaada wa mola hapa Tanzania; Nina umri wa miaka 28 Tanzania tangu uhuru 51. Vyombo vya...
Utasikia naenda au nahamia 'mkoani' ivi ni wapi huko?! Hii dharau inatokana na nini?
Dar sio mkoa?
Kama ishu ni jiji, mbona hata mkiwa mnaenda Tanga, Mwanza na Arusha mnasema mkoani?!
Hii...
Katika mtihani wa NECTA mwanafunzi alionekana kaachia kiti na meza na kuketi chini.Msimamizi wa mtihani akaenda na kumuuliza yule denti mbona hufanyi mtihani wako juu ya meza?
Kwa mshangao dogo...
Simu inaita saa mbili asubuhi
mwanawani, jamaa hajarudi home
toka jana, waifu on ze line.
Ringitoni, sumu ya teja ukonga keko
segerea, ah sumu ya teja sumu ya
teja. Jamaa anaamua kupokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.