JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanajamvi ni dhahiri kuwa wiki hii tumeshuhudia mvurugano mkubwa sana hasa dar hii na kule zenji jambo ambalo limenifanya nitumie muda mwingi kule jukwaa la stress tukipeana za uso na wadau...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
1. Nimegundua waschana wengi siku hizi hawavai ch***p. 2. imegundua vjana wengi wa mjini wako CDM. Je, wewe umegundua nini???
0 Reactions
82 Replies
9K Views
leo asubuh nikiwa natoka kariakoo c nikapanda daladala na katoto ambacho nahic kina miaka kama kumi na nne hiv.tulikuwa tumekaa siti moja baada ya kufika manzese mtoto kwa uwoga c akaniomba namba...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Jamaa alikuwa anaendesha punda, siku 1 alimuuliza rafiki yake, kwnn! gari zinaenda mbio sana? Akamjibu zinatumia Petrol siku ya pili akaenda sheli na punda wake,Alipofika akamnyanyua mkia,akasema...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
jamani najua mumeamka salama.namuulizia ELIZABETH DOMINIC yuko wapi nimejaribu kumchungulia humu ndani simuoni siku nyingi haonekani.mwenye taarifa zake tafadhali
2 Reactions
72 Replies
4K Views
jjapo umenikataa lakini naomba unipe nafasi hata ya kutoka nawewe w.kend hii walau moyo wangu upoe kidogo
1 Reactions
55 Replies
3K Views
HII NI ZAIDI YA TUPO WANGAPI :- Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email: "Mama nina UKIMWI" Mama yake akajibu: Usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :- Ukirudi wewe utamuambukiza mkeo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa alipanda taxi akamwambia dereva, zima mziki dini hairuhusu kusikliza nyimbo za kidunia kwasabab wakati wa yesu hakukuwa na redio, dereva akazima halafu akasimamisha gari na kufungua mlango...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wanajamvi,ninashida katika ofisi hizo za world vision hapa Dar es salaam lakini sifahamu zilipo na nimesha google sana bila mafanikio ninaomba anaefahamu anifahamishe wapendwa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Heshima kwenu wadau, Hopin wengi hamumjui natalia, so nilikuwa mpweke sana kipindi alipopotea as mods walimpiga Ban baada ya kutupia mi threads ya kumwaga enzi za august.. Nikawa na mawazo sana...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Kesho tarehe 19/10/2012 ni siku ya kitchen party ya Madame B. kama kawaida akina mama changamkeni leo kwaajili ya maandalizi ya shughuli hii sote tuwe kitu kimoja. majukumu yanagawanywa kama...
10 Reactions
142 Replies
16K Views
Wahenga wanasema hakuna kama mama,na kila mmoja wetu anajua ni kiasi gani anampenda mama yake.ndio baba zetu tunawapenda lakini ndo hivo tena hakunaga kama MAMA...Sasa napita mahali watu...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Suali linauliza eti rais gani anaependa kusafiri kila kukicha kuluko marais wengne?
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Muhindi mmoja alisilimishwa na Sheikh akamwambia kila unapokula usisahau kupiga Bismillah la sivyo utakuwa unakula na shetani,basi yule muhindi kuna kipindi akajisahau kupiga Bismillah kwa miezi...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Kuna usemi kwamba siku ya mwisho tunaenda Mbinguni, hatutaishi hapa Duniani MASWALI: 1. Je tutapishana na Yesu/Mungu? coz wanasema yesu akija...... 2. Huko mbinguni kuna dunia nyingine? Kama ipo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana Chit Chat, napenda kuwataarifu kwamba mwenzetu Judgement amepata ajali ya pikipiki siku ya ijumaa. Tumuombee apone haraka ili arejee kwenye mihangaiko yake ya kila siku.
1 Reactions
32 Replies
3K Views
jamani wana jf nawaomba sana kwa anaye jua dawa ya mapenzi anisaidie nitashukuru
0 Reactions
29 Replies
9K Views
'scandal' gani ya staa wa bongo imeku'surprise'?!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Moto 2012 Mzee Tupatupa Kipipi na Chimunguru wengine wooote wa kunyumba kwani happy birthday kwa kingoni inaimbwaje!
5 Reactions
73 Replies
4K Views
Jamaa mmoja alifika kijijini kwao kakuta mtandao wa simu unapatikana.. akaamua kumwandikia meseji mke wake.. bahati mbaya akaituma kimakosa kwa mwanamke ambaye alikuwa amefiwa na mumewe... Yule...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom