Nimenunua ka vitara ka kutembea na Ma wife arabela lakini haka kagali kana nishangaza eti Kwenye MLIMA kanapandisha ila kushusha kwenye mlima haitaki hata uweke free...
..hi gari yaniumiza kichwa..
Hili tukio limetokea brazil kijana alikua na umri wa miaka 16 alipga nyeto ucku kucha mpaka inafika asubuhi akawa kapiga bao 42 wakamkuta ameshakata roho,mama yake anasema aligundua tatizo la...
My switi pie,
Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho!
Bira ya wewe mimi siwezi kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo ra tukio.
Nakuheshimu kama ninavyoheshimu rindo.
Wewe...
Mie Naanza na wasaniii hawa:
* "I'm the diamond in the dirt, that ain't been found"--50 Cent-Many Men
*"Mimi ni Almasi mchangani sema tu sijastukiwa"--Mwana Fa-Binamu(Copy n Pest)
$.You playin...
Ni miaka kumi na mitano (15) imepita tangu baba yetu mpendwa ututoke duniani. ilikuwa siku ya majonzi,huzuni na siku niliyopatwa uchungu ambao sijawahi upata tena. Tunakukumbuka kwa busara,hekima...
Niambie Mzee wa Totoz, Mshauri wa warembo,
Mwenye bahati na Walimbwende, Dizaina wa Bikini,
Mtaalamu wa Vichuchu,
Fundi wa Kuzama Chumvini, Jemedari wa Viuno, Muanzilishi wa Punyeto,
Hodari wa...
Mzee waupako Mchungaji Anthony Lusekelo amelalama kuwa udini unaoendelea kushamili umetengenezwa na unatokana na viongozi waliomfuatia Mwalimu Nyerere kupuuza vyanzo vya chuki za kidini tokea...
Msaada wa haraka.
Mwenzenu nimeathirika, yaani natamani kila siku nile. Nikipitisha siku moja kwangu naona kama mwaka. sasa ndo tusemeje, mi ni mgonjwa au?
Naombeni msaada wenu waungwana.
Kuna dereva mmoja liwaganga watu 26 na kuwasababishia kifo papohapo.
Polisi wa usalama barabarani walipo muhoji ilikuwa kama ifuatavyo...
Polisi: Ilikuaje ukawagonga watu 26.
Dereva: Kulia kwangu...
Nakumbuka nilikuwa na miaka mitano kituko hiki kilivyotokea. Siku hiyo alikuja mgeni toka Mbeya na debe la mchele. Wali ulipikwa siku hiyo tofauti na tulivyozoea kwani ilikuwa ni wakati wa sherehe...
Sasa nakiri ni ukweli usiopingika kuwa siyo lazima mtu uposti kitu kwenye hili jukwaa la jokes and gossips. Mfano mzuri angalia hii thread yangu, haina mantiki yeyote na wala haiendani na hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.