JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naomba ufanunuzi kidogo hapa maana labda sielewi hii hela imekujaje kwa ulimwengu.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamu maana kila siku naona list za wanaume tu. Sasa mbona wanapambana sana, hela zao wanawekeza wapi?
0 Reactions
2 Replies
404 Views
Mambo yasiwe mengi. Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF...
38 Reactions
369 Replies
11K Views
Wakuu, katika kuzunguka kwangu hapa Tanzania nimefanya kautafiti kadogo kuhusu pisi kali, na nimekuja na orodha ya mikoa ambayo haina pisi kali kabisa hapa Tanzania. 1. Mbeya 2. Katavi 3. Rukwa...
35 Reactions
267 Replies
19K Views
Hii itakuwa safi, maana tumechoka.
0 Reactions
4 Replies
331 Views
Ukweli ni kwamba waomba ajira ndo wengi juu, Kuliko wanaopambana ili wajiajiri tu! Unaweza miliki pesa ukakosa uhuru juu, tambua huru ndo UTAJIRI pekee huku juu. Mtu akishapata nafasi uku juu...
7 Reactions
4 Replies
354 Views
Endeleeni kuoa vijana , wake za watu sio wachoyo kabisa ngumu akubanie alichopewa bure labana awalinde pia endeleeni kuhudumia vizuri na sisi tule minofu .
4 Reactions
23 Replies
949 Views
Ukifa kama wewe ulikuwa unawachukia au kuwaonea viumbe wa aina fulani basi wewe utazaliwa upya na kuwa kama hicho kiumbe,
2 Reactions
5 Replies
238 Views
Leo ni weekend ndio inaisha kesho ni kazi na mtu kuja nyumbani nyang'anyang'a nani Leo unamtakia wiki njema yenye baraka?? Mie ni JamiiForums wote na Lovelovie Nakadori To yeye Kalpana
3 Reactions
17 Replies
389 Views
"kila mtu kwenye kitabu chake cha maisha kuna ukurasa ambao hawezi kuusoma kwa sauti mbele za watu" Kwahiyo, tupunguze kunyosheana vidole. Mkamilifu ni Mwenyezi Mungu pekee.
3 Reactions
7 Replies
621 Views
📌 Usikate tamaa kwa changamoto unazopitia, aisee hakuna kitu kizuri kinachokuja bila changamoto ata masika uja baada ya kiangazi kuzidi.😂 📌 Mtu anayekupenda hatokuacha kwa tabia zako ila...
1 Reactions
0 Replies
528 Views
📌 Penye miti hakunaga wajenzi nikiongezea na msemo wa ndugu zangu wahaya(zagwa mbali batazilya)... 📌vingunguti kuna machinjio ila tembelea mighawa sijui niseme vihotel VIDOGO vya mitaani...
1 Reactions
6 Replies
401 Views
Sina cha kuongezea tena hapo, Naenda Jamii Intelligence, ntapitia the Palace, halafu nitapitiliza Jukwaa la Wakubwa TGIF
6 Reactions
105 Replies
8K Views
Habari. Kitu gani haujutii kwenye maisha yako? -Sijuti Kuacha kazi ya laki 4 na kwenda mkoani kulima.
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Naomba tofauti hapa na mifano ili nipate elimu wanajukwaa
0 Reactions
13 Replies
891 Views
Mzuqa wanajamvi! Nimecheka had kulia. Humu jamvin raha sana wanajf tunavituko. Eti kuna tetes humu tangu Scorpion akamatwe mshana jr haonekan humu jamvin. Hii kitu imenichekesha sana.
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekuja bar hapa, kuna Barmaid kimechangamka, kiko Vizuri kwa macho. Sasa kuna jamaa amekanunulia bia, amekaa nako, mimi nimemuita huyo barmaid jamaa linageuka linaniangalia kwa Jicho baya...
6 Reactions
3 Replies
388 Views
Wandugu, Kati ya watu ninaowakubali JF, Mshana Jr ni namba moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye busara ya huyu member mwenzetu. Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu kule...
26 Reactions
229 Replies
18K Views
Habari zenu wakuu, Kama ilivyo kwa wa Tanzania wengine swala la kusoma vitabu ni gumu sana kwetu hasa vijana na mara nyingi wazee ndo wamekuwa na utaratibu huo. Leo nataka ku share na nyinyi my...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukiwa kwenye mahusiano yoyote lengo lako liwe ni kukua katika kila nyanja zaidi ya jana. Kukua kimwili (je uliyenaye anakusaidiaje kuwa na afya bora zaidi?), kiakili (je, uliyenaye anakupa...
2 Reactions
2 Replies
358 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…