JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
VITU VYA KUZINGATIA KATIKA MAISHA MAISHA YANA VITU 7; 1:- Furaha. 2:- Karaha. 3:- Misukosuko. 4:- Majonzi. 5:- Migogoro. 6:- Mikasa. 7:- Chuki. Haya yote husababishwa na viumbe hai kama...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Vyombo vya usafiri 1. DCM (Japo siku hizi bado chache zipo) 2. Mabasi ya Leyland 3. Chai maharage hii mnakaa mnatazamana Kama mnacheza draft 4. Peugeot 5. Datsun N.k Nb: zilikua ndio luxury pindi...
14 Reactions
96 Replies
4K Views
Yule Jamaa Hua anaji feel sana[emoji23]
0 Reactions
8 Replies
361 Views
Humu hakuna makapuku wala-vumbi. Ni mtandao wa mataita wenye pesa chafu. Huwezi kukuta mshiriki wa jamiiforums anamiliki vigari vya hovyo hovyo kutoka china. Humu wote tunamiliki landcruisers na...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari, Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na uasherati. Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba...
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Habari ndio hiyo, Kama anakula tu za wenzake ipo siku watamwambia alete ya ampendaye ambaye ndio wewe mme/make. Ukiona mshirikina jibu ni moja dini kama hatak mwache usije ukawa msosi.
2 Reactions
3 Replies
417 Views
[emoji23][emoji23][emoji23] kwaza nicheke Ilikuwa siku fulani hiyo nilikuwa na stress balaa sasa nikaona sio tabu ngoja nijitoe out nikatoka mpaka sehemu yangu pendwa kwa bendi mzuri CAPE TOWN...
3 Reactions
75 Replies
2K Views
KAMA UTAENDA KUNUNUA DADA POA, ZINGATIA HAYA. Anaandika Robert HERIEL Yule Mtibeli, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Mambo haya pengine niya aibu, pengine hayasemeki kwa urahisi, tena hayafurahishi...
76 Reactions
231 Replies
49K Views
Salaaam wana JF, Kama ilivyokawaida wavunjifu wa sheria huwa hawakosekani mahali popote lakini pia hata wale tunaoheshimu mamlaka lazima tuwepo. Taja member waliowahi kula ban hapa JF ili tupige...
14 Reactions
117 Replies
4K Views
Alhamis njema kwa nyote. Siku hii ya leo pokea baraka za utajiri Pokea baraka za majengo Pokea baraka za magari Pokea baraka za fedha na dhahabu Pokea baraka za biashara kubwa kubwa Mwaka huu...
2 Reactions
7 Replies
338 Views
usi mind pindi manzi wako asipo kutafuta siku nzima 😀mtafute wewe kwasababu ndo unaeumia ✅✅
1 Reactions
8 Replies
459 Views
Kumbe bado kuna wanaume wana vaa pichu mpaka sasa licha ya boksa kuwa nyingi wana vaa pichu za kiume na mstari unatokezea kwenye suali kabisa.
5 Reactions
26 Replies
788 Views
Mambo vipi wale vijana wote wenye maini na figo safi kabisa kwa utendaji kazi mwilini, lakini inakuaje wanangu wote wazee wa kamnyweso, wazee wa kula gambe, kula kilaji, kuuchapa mtungi na...
17 Reactions
94 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza, huyo kiumbe Genta anaongea ongea sana humu kujifanya yeye ndo anajua kila kitu kana kamba viongozi wetu wapenda hawafanyi kazi nzuri vile na...
3 Reactions
10 Replies
590 Views
Hello lads and ladies. Legends! Tupitie flashbacks zetu tukiwa campus notes zina majina yake, vikaratasi vya kuibia majibu kwenye Tests na UE na majina yake. Wakali wa vizenga, dessa, simbi...
6 Reactions
17 Replies
918 Views
Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani... Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za...
0 Reactions
2 Replies
342 Views
Nilikulia na kulelewa Mbeya maeneo ya Majengo na Nonde-machinjioni. (1974-1980). Nikaondoka kwenda kusaka maisha. Nikalowea huko nilikokuwa. Nimerudi majuzi. Daa!! Ooh! Mbeya, my dear Mbeya!
2 Reactions
101 Replies
8K Views
Habari wana Jf. Katika maisha kuna vitu vinakuja na kupotea, Kuna watu wanakuja katika maisha yako na kutoweka. Kuna watu mlizoeana kipindi fulani lakini ghafla mmesahauliana. (Bila ugomvi)...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakuu, plani yangu kesho ni hiyo kwa ajili ya EX wangu. 😂 Mwenye plan nyingine anipe tafadhali! ---------------👇-------------- This's for (Jokes). If you want a serious post, go and write what...
1 Reactions
11 Replies
881 Views
Kuelekea sikukuu ya wapendao 14/02/2020. Hebu weka wazo la zawadi unayofikiri utanunua au kuandaa kwa ajili ya mpenzi/mpendwa wako ila bajeti isizidi Shilingi 20,000/= Kwa kuweka limit ya...
7 Reactions
185 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…