JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siku moja Binti alimuuliza mama yake: Binti: Mama hivi sisi binadamu asili yetu ni nini? Mama: Hapo mwanzo Mungu alimuumba Adam na Eva, nao walizaliana na kuongezeka hadi tukazaliwa sisi. Baadaye...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
A Qualified Engineer married an uneducated girl. After 2 years of having Tough life with here.The Engineer got angry and send a note to his father-in -law, "YOUR PRODUCT IS NOT MEETING MY...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
which is the most dangerous alphabet? "w"because all worries start with who,why?,what?,when,which,whom,where,war,wine,women and finally wife beware!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
{1}Inaburudisha sana pale unapoamka usiku unaangalia saa unagundua bado una masaa mawili zaidi ya kuendelea kulala kabla ya muda wa kuamka kwenda kazini/shuleni/chuoni kufika.
8 Reactions
126 Replies
15K Views
Jamaa kaingia kwa kinyozi na mtoto,akaomba anyolewe nywele na ndevu. Alipomaliziwa akasema mtoto pia anyolewe,akaaga kuwa anaenda dukani kumnunulia mtoto viatu. Masaa matatu yakapita jamaa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
tumwage zile zitu zetu za baadae which is which unafikiri makabila hodari ya kufuatilia habari za magazetini ni yapi? Tiririkeni!!!
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Matatizo ya ENGLISH medium school kwa watoto wetu, siku moja MTOTO alichukua passport ya ***** na kuisoma, akaona ilivyoandikwa:- Name: AMINA Place: TANGA Birth: 1979 Sex: F Mtoto akamwambia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hapa Nazungumzia Ile Tabia Uliyokuwa Unaifanya Utotoni Na Umekuwa Nayo Mpaka Leo Ukubwani. Mimi Tabia Niliyokuwa nayo Mpaka ukubwani ni Kupenda Kukaa Pamoja na Makundi ya Wanaume. Wewe Je?
2 Reactions
99 Replies
5K Views
Tamaa mbaya ..... jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake JAMAA: Shem nimekutamani ile mbaya......... MKE; Hebu pisha uko, rafiki yako akijua? tena koma, na shika adabu yako!! JAMAA: Nitakupa million...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alikua akiishi na mkewe, lakini mkewe alikua nafuga paka na yeye jamaa alikua hampendi kweli yule paka. siku mojaakaamua aende akamtupe mbali. Akamchukua na kuendesha gari kama...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cha kuokota siyo cha kuiba mwenye mali ni mjinga,jamani nimeokota 350 asubuhi hii ni bahati jamani ww mara ya mwisho uliokota pesa lini?...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomba msaada jamani hivi ni nn future ya bachelor of rural development yaani unakua nani na unaweza kufanya kazi ktk sector gani?
0 Reactions
2 Replies
679 Views
Usiku mmoja Watu wanne walitaka kuvuka toka upande mmpoja wa mto kuelekea ng'ambo ya pili wakiwa na taa moja.... wanatakiwa wavuke mto at a time,kwa watu wawili either one or two people, must have...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Which was your favourate subject in Secondary/high school? ''Ulipenda somo gani ulipokua shule ya upili???'' 1. Mathematics 2. English 3. French 4. Physics 5. Chemistry 6...
0 Reactions
1 Replies
604 Views
0 Reactions
3 Replies
856 Views
Jamaa alikuwa kwenye taxi akapita nje ya bar moja yenye guesthouse akamuona mkewe akipotelea ndani ya hiyo bar; JAMAA: Dreva simama. Unataka laki tatu ya chapchap? DREVA: Bila shaka mzee JAMAA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kuhitimu Elimu ya Msingi, hususani miaka ya nyuma ikizingatiwa nafasi za kuendelea na Elimu ya Sendondari zilikuwa finyu, ilikuwa ni mwanzo wa harakati za kuanza maisha. Je ulifanya nini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kukojoa kitandani ni utoto tu akikua ataacha Kulilia rambaramba ni utoto tu akikua ataacha Kuzomea zomea bungeni ni utoto tu wakikua wataacha Kushabikia timu inayokupa stress mara kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunipa pumzi hadi siku ya leo, mengi yamepita amenipigania na wapo wengi humu ndani tumezaliwa siku moja wengine ikiwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
MOTHER:My son must obey me unless he didn't suck my breast for 1 year WIFE:He sucks mine now & sucked it for more than 5 years and is still sucking MOTHER:I carried him for 9 months WIFE:He was...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom