Kwa haraka haraka ukitajiwa fulani kanunua gari...haijalish linasoma T 101 AAA watu mind zinaclik jamaa sasa anazo...hata waliojenga nyumba zao za mamilioni ukienda ww na duet yako ya mkopo wa...
Nimecheka sana jana
ndani yameli watu wa makabila na uraia tofauti walikuwa na mizigo,meli ikazidiwa uzito ikabidi kila abiria apunguze mzigo,
mzungu akatupa computer akasema 'kwetu zipo tele'...
DIRECT TRANSLATION.wacha mchezo-leave sportwewe ni kiboko yao-you are theire sticknaskia kizunguzungu-im hearing english englishmahindi yameota-maize is dreamingusinivute-dont smock meacha kulia...
nimetokea arusha jamani kwa wanajamvi wa Arusha baadhi Mr. Rocky, Liverpool, Sweetylady na wengine naomba niwaage rasmi.
Naomba Wanajamvi wa jiji la raha na karaha i mean Dar es salaam...
Jumuiya ya Vichaa Tanzania (JUVITA) imetishia kuitisha maandamano ya vichaa nchi nzima kupinga kazi yao ya kuokota makopo kuingiliwa na watu wenye akili timamu. Tukio hili limejitokeza baada ya...
Jamaa mmoja alikuwa anaongea na mzungu namna ilivyovigumu kupanda mlima Kilimanjaro. Ili aeleweke vizuri kwa mzungu maongezi yakawa hivi. Namnukuu, To plant mount Kilimanjaro is not...
Hizi Ndumu Bana!
Eti nilikuwa ninaimajini kwamba Jei Efu imegeuka Kabustani halafu wana Jamii wamegeuka viumbe tofauti tofauti.
Kuna watu nimewaimajini eti wamekuwa Viwavi Jeshi, Vinyonga...
Siku moja watoto watatu,MWIGULU,NAPE na LUSINDE waliamua kwenda picnic sehemu fulani.Basi wakabeba mazagazaga kibao,misosi na vinywaji vya kutosha.Wakasafiri kwa mguu kwenda eneo la picnic yao...
Jana nilimwambia mwanangu (10yrs) Kuwa Mgeni akija mwambie nimelala.
Baadae kuna kijana mmoja akaja, kuuliza tu, akaambiwa kua baba kasema Mgeni akija tumwambie Kuwa...
Baada ya kipigo cha bao 5 - 0 Jamaa ambaye ni mpenzi wa Yanga wakati anaita watu kuja kusali msikitini (adhana) alfajiri, wakati akiwa busy, mpenzi wa Simba akapita na kumpa ishara ya 5, jamaa kwa...
Mke wa mtu alikua akisoma sms kutoka kwa mpenzi wake ghafla alijikuta akitokwa na machozi baada ya mpenzi wake kumwambia mapenzi yao yamefikia mwisho,mumewe akamuliza nani kakutumia sms?mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.