Three Friends went to China for vacation.
Since they were new at the
place, they had to stay in a hotel. They
ended up being on the 60th floor. The
policy of the hotel was that, at
midnight, the...
Changua jibu sahihi kushinda yote
Umri wa juma ni nusu ya umri wa kaka yake kwa sasa. Umri wa kaka yake kwa sasa ni miaka sita.
Je Kaka yake akiwa na mika 100 je juma atakuwa na umri wa miaka...
Nashindwa kujizuia wajameni! Nimejikuta nampenda mke wa mtu, naye ana vituko mno kwangu niko naye jirani kidogo sijui nifanyeje! Nina tabia ya kupata moja mbili maeneo ya jirani kwangu, huwa...
Enyi waheshimiwa tunaotaka mabadiliko hii ni kwa ajili yako wewe mimi na yule na wote watakao mabadiliko
#include <chadema2015.Ikulu>
void CCM2015(int peoplevoteforChadema);
int forever=1...
Mwalimu mmoja alikuwa yuafundisha watoto wa
darasa la 1 hesabu,akamuuliza dogo mmoja swali. Mwalimu:"Nikikupa sungura wawili halafu
nikakuongezea tena wawili na nikuongezee tena
wawili utakuwa...
Three Friends went to China for vacation.
Since they were new at the
place, they had to stay in a hotel. They
ended up being on the 60th floor. The
policy of the hotel was that, at
midnight, the...
Jamaa mmoja alipata nafasi ya kuongea na mungu. Jamaa akamuuliza,"Miaka millioni moja ni kama nini
kwako?" Mungu akajibu,"Dakika moja." Jamaa akauliza tena,"Na shilingi millioni moja ni
kama...
Wana jamnvi!!, usalama wetu kwanza tuwapo barabarani!!!,road traffic act no 19(1) revised edition 2002 ina prohibit ku drive chombo cha moto kama huna driving licence.tujifunze sheria wenyewe ili...
Kijiwe kipya cha burudani ndani ya Arusha.
Was there on Friday night on my trip to DSM ..
Located at Philips.
Nitakuwepo ijumaa ijayo tena wenyeji tupokeeni......!!!
Mpo njiani mnatoka shamba, kushakuwa jioni sana na kuna dalili za kunyesha mvua, mara anakuja mwarabu wa shamba la jirani akiwa na pickup yake, mbele kuna nafasi moja tu. mwarabu anashauri, Mkeo...
Unajua nakuthamini zaidi ya POSHO na MSHAHARA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio, nitakuheshimu kama navyolieshimu LINDO, wewe ndio IGP wa moyo wangu, daima...
Moira Johnston, (kulia) hapa akiwa na rafiki yake maeneo ya Union Square NYC. Wote wakiwa matiti nje
Msichana anayeitwa Moira Johnston ameonekana akitembea matiti nje, bila blouse wala sidiria...
Baada ya kukataa kusimamishwa na Trafic Police, Mzee wa kibondei alikamatwa kwenye kizuizi cha barabara kilichofuata baada ya radio call kupigwa, mazungumzo yakawa hivi:
Trafic - Mzee mbona...
Mungu akupe akili kama Iniesta, upole kama Messi, umakini kama Xavi, bahati kama
Beckam nidhamu kama Gerrard, tabasamu kama Gaucho na utajiri kama Etoo".
Ila akuepushe na utukutu kama Balotelli...
Hii si utani wandugu.
Lile jukwaa ukiingia kwa mtazamo huru bila kuchotwa na hisi za dini yako, mbona raha tupu!
Binafsi huwa sicoment chochote mule, huwa nasoma michango ya watu kisha nacheka...
Duh mwenzen nlikuwa siamin kama mtu mwenye gharama duniani ni mwanamke na ndo hutumia pesa nying zaid kuliko mwanaume NIMEAMIN SASA. . . . . . Kama na we umethibtisha niambie kama...
Kwa wale wa miaka ya zamani nakumbuka tulikua na mafundi wafuatao;
1.Fundi wa miavuli
2.Fundi wa kurepair ndoo.
3.Fundi wa masufuria.
4.Fundi wa majiko ya mchina.
Ongezea mafundi wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.