Mnaojua wapendwa wa jf,
kuna umbali gani kutoka Dar hadi chalinze (km), na kuna umbali gani toka chalinze hadi arusha (km), naombeni msaada wenu jamani kwa hili tatizo langu.
Natanguliza...
Hapo tanga kulikuwa kuna mtu na mke wake wameoana, ila ndoa ile ilikuwa haina amani, mke wa jamaa huyo alilalamika mateso ktk yake hiyo na kudai talaka kila siku. Sababu za ugomvi huo kati ya mume...
Ha ha ha leo ndo Frahiday na ndo mwanzo wa kula bata ndef. . . . . Je umepaka ku2mia kias gan cha fedha ktk wkend yako na utatumia kiasi ulichopanga. . . . ? ? ?
Mtanzania na mkenya waliingia supermarket moja jijini DSM.Walipotoka nje,mkenya akawa anajigamba kwamba wakenya ni wajanja kuliko wa-TZ huku akimuonesha m-TZ chocolate tatu alizokwiba...
Sikuchunguzi ila kufahamiana si vibaya huwezi kujua pengine wewe ni jirani yangu au pengine mimi ni house boy wako tuko chini ya dari moja...............Na zaidi unaweza kukuta Bishanga ni ndiye...
@CUTE happy birthday najua birthday yako ni badae tar 21 ila nakuwish kabisa sasa hivi maana tunakwenda out so tukirudi naweza nikachelewa kukuwish hapa jamvini
To stay with you, to hear your...
kuna jamaa alioa mke kutoka mbwise hajuiuume wala mapenzi usiku wa ndoa mke akauliza hii ni nini akaambiwa yaitwa popoo!halafu jamaa akaongeza ninayo mimi peke yangu hapa duniani cku moja jamaa...
Wanaume wengi tumekua tukijidanganya kua kama hauna mvuto kwa maana ya uzuri wa asili, basi huna thamani mbele ya wanawake, that's so wrong! .
Mvuto asili ni vionjo tu, vinavyomfanya mwanamke...
Jamaa akiwa ndani ya Taxi alimwona mkewe akiingia ndani ya hoteli na mwanaume flani.Akamwuliza dereva wa Taxi, "unataka nikupe elfu moja?"Dereva akakubali.Jamaa akamwambia, "nenda uko ndani,mke...
Wana Chit Chat, PM humu Jamvini ni nyenzo muhimu kwa matumizi mbalimbali! Leo napenda kupata ushuhuda je PM imekusaidia katika lipi? Kuna wengine wameshaweza ku-exchange phone numbers, e-mail na...
Mimi nipo dar es salaam, natafuta boyi kwa lugha ya kwetu inaitwa shaghii. Ni ile ya kushikia sufuria wakati wa kusonga ugali. yenyewe ina umbo la "Y". Mwenye kujua zinapo uzwa hapa dar naomba...
............. Jamani hii sio utani bali ni live bila chenga nimeshuhudia ugomvi wa watu kushikana na kutupiana ngumi kisa jamaa wa Simba kumuita mtani wake wa siku nyingi TWITE, jamaa wa Yanga...
.......Mmasai alipeleka radio kwa fundi wakati fundi anaifungua mende wakatoka... mmasai akapiga kelele "yero' kamata hao watangasaji wanatoroka ............ !!!!!!!!!!!
Punde hivi nilikua kwenye duka la Muhindi, nikinunua chupa ya chai.
Nikamwambia dosi "nipatie thermos" akaniuliza
"nataka ile kuba au dogo , au ile kati ? Ile kuba iko beba kombe 12"
Nikamjibu...
Habar wakuu,leo asbuh majira ya saa 12 nilipoingia bafuni nikakuta kitu kimedondoka chini,baada ya kukiangalia kwa makini nikagundua kuwa ni shanga,ambazo kwa kuziangalia tu nikagundua ni za...
I. Jamaa waliona raha sana kunipiga ban mwana wa mwenzao, ila poa uzuri nimelelewa na mama wa kambo, wageni walikuwa wanaita manyanyaso ila kwangu mimi yalikuwa mazoezi. Nimerudi salama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.