JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
SUMU KIDOGO TU TOKA KWA COBRA INGETOSHA KUUA NGUCHIRO KAMA HAWA MIA NA ZAIDI LKN EBU ANGALIA HII KITU. BONYEZA LINK HII HAPA CHINI Cobra vs. Mongoose - YouTube
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mfanya kazi wa mochwari aliona maiti ina uume mkubwa, akaukata ule uume ili akamwonyeshe mkewe. Mkewe kuuona tuuu akatahamaki!!! Mungu wangu,ina maana fundi amekufa!!!!????
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Walevi waliokota kioo Mlevi mmoja: Kakitizama kioo kwa muda halafu akasema "Hii sura sii ngeni ila jina silikumbuki." mwenzie akachukua kioo kuangalia akasema: "We mlevi kwelikweli, si mimi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini! Kwa wanaopenda kuhudhuria mafundisho ya Mch. Mwakasege, atakuwepo viwanja vya Biafra-Dar kuanzia tarehe 19 Feb 2012. Wote mnakaribishwa. Mbarikiwe sana!
1 Reactions
19 Replies
2K Views
MITOTO MINGINE KWAKUTOPENDA SHULE BWANA Baada ya mwizi kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vingi wakati akijiandaa kuondoka ghafla anadakwa mguu na dogo.. Dogo akamwambia mwizi usipochukua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MITOTO MINGINE KWAKUTOPENDA SHULE BWANA Baada ya mwizi kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vingi wakati akijiandaa kuondoka ghafla anadakwa mguu na dogo.. Dogo akamwambia mwizi usipochukua...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ya..... Tumbo, Uzazi, Moyo, Koo, Matiti, Kupunguza/Kukuza Makalio......... Ni lini na hospital gani?? Mimi sijawahi fanyiwa operation hata 1 lakini nina mpango wa kufanya penis enlargement...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
umechekii Hii!
2 Reactions
12 Replies
3K Views
vichaa wa3 walijaribiwa na daktari wao..daktari aliwaambia wakodi tekc waende mjini walipopanda dereva akawasha gari nakuzima alafu akawaambia 2mefika kichaa wa kwanza akashuka na kumpa hela,wapli...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna shoga m1 alikua bar anakunywa bia, mara akasikia nyimbo inaimba hv, "wanaume 2meumbwa mateso kuangaika" yule shoga akasema eheee niljua 2 ndio maana nikajtoa uko mapemaaa!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu yangu nunua gari mapema ukichelewa unaweza kupata namba za aibu kama vile: T 325 UKE, T 268 UCH, T 452 TIA, T 128 VUZ, T 169 SEX, T 694 MBO. kazi kwako..
1 Reactions
10 Replies
2K Views
kila ikifika asubuhi hili ndilo linalonitokea!! Uhhh
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Msambaa mmoja alikuwa amepakia plastiki la maziwa kwenye baiskeli kupeleka lushoto mjini kuuza, kwa kuwa ilikuwa kipindi cha mvua, madimbwi yalikuwa ni mengi huku barabara ikiteleza sana, basi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Understand Life!
1 Reactions
2 Replies
840 Views
mu-hali gani wana CC, wadau hakuna kitu kinachonikera kama upo kwenye public transport halafu mtu anafungulia muziki kwenye kamchina kake muziki wenyewe mbovu. wakati mwingine unakuta watu...
1 Reactions
96 Replies
6K Views
Mapenzi ya siku hizi ni ya kutamaniana,kutumiana,kufilisiana,kukwanguana na kubwagana,na si ya kupendana kwa dhati,si ya kusaidiana na kulipeleka gurudumu hili la maisha mbele. Kwanini Mambo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Juliety alikwenda kumwona daktari baada ya kusumbuliwa kiafya. Maongezi yao yakawa hivi: Juliety: Dr Ninatatizo la kupata mkojo wenye rangi ya njano. Doctor; kwa wastani huwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
...anaposema "DAR ES SALAAM FOLENI HAITOKUEPO TENA..." me napata picha hili ndio "ze mwendo-kasi slipingi kochi" unaionaje kauli hii ya mheshimiwa? itatekelezeka au ni siasa?
1 Reactions
4 Replies
809 Views
Mke: Mbona kwa jirani kuna kelele ? Mume : Kuna birthday Mke : Ya nani Mume : Ya Tuyu Mke : Ati Tuyu? Umejuaje?? Mume : Nimeskia waki-imba Happy Birthday Tuyu!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom