Ikiwa wanafunzi waliofauru darasa lasaba na kujiunga na kidato chakwanza hawajui kusoma wala kuandika,
Je hao waliofeli hali itakuwaje???
Hii inaweza kuingia kwenye maajabu saba ya...
BABU: Mtoto nakupenda sana, ukinikubali utafurahi
KABINTI: Akuuu, we mzee una miaka hamsini mi nina 19 wapi na wapi?
BABU: Nani ana miaka hamsini? Mimi nina umri wa miaka 25 na uzoefu wa miaka...
Mke mmoja aliyechoka na tabia ya Mume wake ya kupenda kuchat na kuangalia net kwenye simu yake alitoa kali ya mwaka. Mume huyo hakua na muda wa kuzungumza na mkewe, kila mara yeye na simu yake tu...
My Shem beibe nasty
Heard that youre not feeling well.
So brought flowers for you to
Make you feel Healthier and Happier.
Get Well Soon!
Wanachit Chat wote tumwombee mwenzetu apone haraka!
Jana nlikuwa katika daladala mara daladala liliposimama akapanda mama na m zigo hk akiwa amebeba mtoto na wawili wengine akiongoza nao akajitokeza abiria mmoja na kusema "Kweli mwanamke ni mwili...
Wadau wa Jf book,
Jana nikiwa kwenye Lunch nilikuta mjadala ambao ulinivutia nikaona nishirikishe wadau wangu wa JF;
Watu wengi hasa walioko kwenye mahusiano walionesha kukerwa sana, na wapenzi...
Wakulu kama mjuavyo, na kama mnavyoona maskani yangu ni huku wodi ya wazazi.....
Kaja mama mmoja tumbo hiloooo.....
Daktari kampima na kathibitisha huyu mama atajifungua kesho mtoto wa kike...
Bei ni Mzuri...
Yana shepiwa vyovyo utakavyopenda...
kwa Promotion nawaalika wafuatao Madame B,Mrs ZUBEDAYO,CHARMIGLADY,cacico.,hawa wataleta majibu wenyewe hapa kijijini...
Q: In which battle did Sultan die?
A: His last battle.
Q: Where was the declaration of independence signed?
A: At the bottom of the page.
Q: Whats the main reason 4 divorce?
A: Marriage?
harusi mliyofanya,
ni kiapo kikubwa mbele ya Mungu,
mkiheshimu mpaka siku ya hukumu.
kwa hiyo,
kaeni kwa amani nawausia,
mpaka kifo kiwatenganishe.
mzaapo watoto,
muwatunze vyema,
ni...
Kuna mlevi mmoja akiwa amelewa chakali alirudi nyumbani kwakw usiku na akawa anataka kufanya mapenzi na mke wake sasa katika harakati zikiendelea mme akamuuliza mkewe mbona leo maziwa yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.