Leo nataka tukumbushane mji wetu mkongwe,mji maarufu wenye historia kubwa ndani ya nchi hii lakini inayoelekea kupotea.Mko wapi watoto wa kariakoo wa ukweli mtueleze tuijue kariakoo iko...
Chagua slogan yoyote halafu sema "in my pants..." Halafu malizia na hiyo slogan, utacheka balaah.
Mf: kazi ni kwako - voda hao
In my pants...kazi ni kwako
Mf: pepsi - dare for more
In my...
Wanajf leo tutambuane nani yupo single, married, widow, etc
kama ulipigwa kibuti hapa uwe huru pia kutiririka na hii ina umuhimu mkubwa sana na itawasaidia wote wanaotafuta wapenzi kila siku...
Wakati wenzangu wako busy na kuyawaza ma Toyota, mie moyo wangu naubwaga hapa kwa Mjerumani.
www.carsarmored.org/photogallery/mercedes-benz-g-guard-4.jpg
Mke kamnunulia mumewe dozen ya ch*pi i.e boxer zote za rangi ya bluu. {MUME};Akhsante kwa zawadi mke wangu lakini umekosea kidogo,ungenunua za rangi mchanganyiko kwa sababu watu watadhani mimi...
Nipo ndani ya Coaster naelekea home Tunduma.Kuna abiria washamba wawili wanashindana kupiga music iliyomo kwenye simu zao,yaani gari zima ni kelele tupu mpaka kero.Sasa najiuliza,hivi hizi simu za...
Madenge alikuwa kwenye basi lenye abiria wengi. majambaz wakawavamia na kuwapora simu na usipotoa "una chomwa sindano ya damu ya ukimwi" watu waka toa lakin madenge hakutoa akachomwa ile...
Leo nimepewa lift na mheshimiwa fulani kwenye gari. Jamaa leo alikuwa na tumbo chafu, alikuwa anajamba sana; na kila ushuzi anaongeza kiwango cha harufu mbaya. Kila alipokuwa anajamba anaongeza...
Mwenyeji: karibu
Mgeni: Asante
Mwenyeji: utakunywa chai au juice?
Mgeni: ntakunywa chai nikisubiri juice
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
TICHA: yani elimu siku hizi imeshuka sana na mitihani ya siku hizi imekuwa rahisi sana tofauti na enzi zangu.
MWANAFUNZI: kwani wewe ulisoma enzi zipi?
TICHA: enzi zile uwanja wa Man Utd ulikuwa...
Wanajukwaa nina kama mwezi mmoja hivi tangu nimejiunga na ofisi flani hapa mjini na nilipoingia kutokana na kijipanga sawa sawa wadada wa ofisi hii wakaanza kuleta mazoea ya kienyeji...
Yes it is your birthday.....
Sala zetu zimesikilizwa. Hatimaye siku imewadia. Tunamshukuru Mungu. Tunakuombea maisha marefu, upate watoto wengi waizunguke meza yako wakati wa chakula cha mchana...
Mimi kwa upande wangu nishawahi kumchukia mmama mmoja ambaye alikuwa analeta maneno ya uongo kwa mama yangu, kuwa kijino anawanaume ni malaya, kipindi hicho nipo form 1 hata wanaume cwajui, yani...
Atakaepata kitendawili hiki, ani-inbox number yake ya simu nimrushie buku 10.
Sharti la kitendawili hiki unatakiwa utoe jibu la uongo, ukitoa jibu la ukweli basi utakuwa umekosa.
"Analia nyau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.