JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya kukataliwa humu Chit-chat huyo umuonae kwenye Avatar yangu amenikubali sasa mniache nijilie vyangu mtoto nimemkoleza haswaaaa.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
It was early morning at the military base, and the first sergeant was calling out names for the daily work parties listed on a piece of paper: "Kimbweka" "Here!" "Mentor" "Here!" "Madame B"...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilimpenda sana sweetylady ila nimegundua hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu. Ameweza kudanganyika na akina Vin Diesel huku akichochewa na Erickb52. Mapenzi kweli kuzunguzungu
3 Reactions
197 Replies
9K Views
I've kissed the moon a million times Danced with angels in the sky I've seen snowfall in the summertime Felt the healing of the powers above I've seen the world from he highest mountain...
0 Reactions
7 Replies
990 Views
Yaan unaweza ku~follow kila post ya member uliyem~follow, unapata notification kila akipost na unaweza ku repost hiyo post yake. Ningemfollow member anaitwa Asprin, japo tunatofautiana sana...
4 Reactions
159 Replies
13K Views
Haya tupoteze mawazo na nahau, ukiandika nahau, atakayetoa maana yake, naye anaandika yake: amelala fofofo-amelala usingizi mzito. Ana ulimi wa panga..... endelea....
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Padri na Shekhe walikutana kwenye ndege.Padri akamkaribisha Shekhe kitimoto, Shekhe akasema huwa hatuli. Padri akasema mnakosa uhondo. Wakati wakushuka Shekhe akamwambia Padri nisalimie wake zako...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama umeshawahi kula ban jf, jibu ndio na ulipigwa ya mda gani
0 Reactions
1 Replies
931 Views
MOSCOW WEWE JE? TAJA MJI, NA NCHI, moscow Russia, usiweke maneno mengi
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Utotoni mi nilikuwa napendelea kucheza kombolela tunaenda kujificha wawili tu je hako kamchezo hapo kwenye picha uliwahi kukutwa nacho??
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni mod anayependa sana kujibu kwa kizungu hata kama umemuuliza kwa Kiswahili. Tulimwajiri miaka 5 iliyopita na tukampa "Terms and condition", na alituvutia kwa sababu alituambia yeye ni msomi wa...
2 Reactions
143 Replies
7K Views
Ni kati ya mademu wawili na kila mmoja anatabia yake,na mbali na hao niliwahi kuwa nao zaidi ya hao wa3 ila kupitia mchujo wangu hiyo ndiyo top2 yangu!,... Sifa zao ziko hivi;- 1-anadeka halafu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kitambo nimesugua kichwa ni zawadi gani nimpe kila Jf member na hatimae nikapata hii . Wewe member unaesoma haya niandikayo hii ni gift nakupa , kupitia ujumbe kwamba :- KATIKA maisha kamwe...
10 Reactions
48 Replies
3K Views
Zain- ni siter du anayependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazoVoda- Mchumba wa kuoa kabisaZantel- Jimama la kulea vitotoTCCL- Kibibi kinacho lazimisha ujanaTigo- Changudoa asiyejali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Utaipata kwa Laki... John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
kimwana anaitwa Shani,mchana kanipigia simu,namuuliza uko wapi niko kinondoni,njoo basi darling,bishanga huyo nikaenda,tumekula kisha kaniomba nimsindikize dukani anataka kununua kitu.Ndo...
3 Reactions
73 Replies
5K Views
MCHONGOAN0 1.We ni mweusi kinoma hadi damu yako huzunga na tochi. 2.Wewe ni mlevi mpaka mosquito ikikuuma inalewa. 3.Uko mu-ugly mpk ukitaka kupanda daladala conda anakutell "ha2bebi wanyama...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Hodi humu ndani wana jamvi mko salama?
0 Reactions
6 Replies
862 Views
Kama leo hii utapewa nafasi ya upendeleo ya kupendekeza mambao ambayo unaona yawe dhambi au mema, ni mambo gani ambayo kwa sasa unayaona kama ni dhambi ambayo ungependekeza yaruhusiwe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom