JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
mke wa kipofu anatembea na kiziw kwa siri lakin anaejua ni bubu, je bubu atafanyaje ili amwambie kipofu kuwa mke wake anamsaliti? .ukiwez kunipa njia atakayoitumia
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alikuwa na mke wake ambaye anampenda sana paka, Jamaa hakumpenda yule paka na kila siku ilikuwa ugomvi. Siku moja aliamua kumchukua yule paka na kwenda naye umbali wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
UK: Goodnight folks France: Bon nuit Kenya: JD, funguria hiyo ubwa. Hiyo kufuri ufunge nayo gate. Nyororo ufunge nayo prombox ...gate uingize store..na uweke kisu shini ya pirrow!!...
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Wandugu...salaam. Natumai Friday yenu iko poa.. Jamani nna shida kidogo kama kuna mtu anaeza kunisaidia. Kuna series inaitwa FRIENDS nnaweza kuipataje jamani??! Kuanzia tu na season one aisee...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndani ya Hospitali ya vichaa. Muuguzi: Unaandika nini? Kichaa: Barua Muuguzi: Unamuandikia nani? Kichaa: Najiandikia mwenyewe. Muuguzi: Imebeba ujumbe gani? Kichaa: Heh, we chizi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
...jiweke kwenye nafasi mojawapo kati ya hawa watatu... then utoe mawazo yako (ki-chit chat zaidi) au hata kiuhalisia pia...
0 Reactions
75 Replies
5K Views
Kuna dada mmoja mtaalam wa mambo ya Tech, Siku moja alikua anabofya bofya ktk keyboard yake huku akinywa soda, mara ikamwagikia juu ya Kboard, sasa badala ya kufuta, ye akabonyeza Ctr + Z (undo)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari za mchana wana JF, hebu tutajie jambo ambalo uliwahi kusingiziwa umelifanya ILA kumbe hujalifanya na ikapelekea kukunyima raha au kukosa amani....
0 Reactions
51 Replies
4K Views
PADRE aliwauliza waumini PADRE: Ni kiungo gani cha mwili hupatikana katika sehemu iliyojificha na kina wingi wa unyevunyevu kinaweza kufanya ndoa iwe imara sana au kuyumbisha??? WAUMINI: Kimya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanafunzi watano wa chuo kikuu kimoja hapa nchini walikuwa wanatakiwa wafanye mtihani siku ifuatayo. Wale wanafunzi wakanywa pombe mpaka saa nane usiku. Siku ya mtihani wote wakawa na uchovu...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Arusha ni njema jamani! I love the City. Kwanza nimesoma Ilboru A level, so I know it. Sasa nimekuja kwa programu fupi tuu ya wikiendi hii. Nimekulaje mishkaki! Hii barabara ya Nairobi (kambi ya...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Channel 10,clouds,itv and mlimani only.they are not bias.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nijuavyo mie, binadamu amejengeka na viungo kadhaa mwilini mwake . Mf. Pua , Macho , Maskio, Kidevu , Magoti n.k n.k Aidha viungo husika , idadi yake inaendena na kanuni ya maumbile ilivyo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni ratiba yako ya leo. Utakuwa wapi? Na nani? Ukifanya nini?
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Wana Chit Chat, Ishu hii ingekukuta wewe ungefanyaje? Iikilize vizuri hii kitu Samahani kwa usumbufu kwa wale ambao hawakuona linki. Nimeirekeisha hii hapa chini...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alikuwa ameshikwa na tumbo la kuhara, basi kwa bahati nzuri aliona uchochoro hivyo aliamua kwenda kujistahi, kufika pale akakuta kibao kimeandikwa 'marufuku kukojoa hapa'. Jamaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika Jumapili moja,kuna sharobaro mmoja alienda na demu wake kanisani...ukafika muda wa kutoa sadaka mara yule sharobaro akamzuia demu wake asitoe sadaka huku akimwambia ''don worry baby i will...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Eti umeenda dukani kununua sumu ili ujiue umetoa noti ya elfu 10 kuna haja ya kudai chenji? naombeni majibu pls!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Je, unafahamu kuwa 100% ya wanawake wanaofanya matangazo ya luninga wakitangaza pedy, huwa hawajazivaa???
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nenda kwa step kwenye uzi,hali tete huko...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom