JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
jf imekua ulimwengu kwa watu wengi, kuna kitu tunakikosa huku. . .naomba ombi maalum kwa modes ianzishwe mahakama maalum ya jf, itakayoamua kesi za humu humu ndani. Ni maoni tu nakaribisha...
1 Reactions
6 Replies
936 Views
Akina mamiito na Dadiito. Nashindwa hata kupanga ratiba as am so ecited jamani. hebu nisaidieni. kwa kuanzia natoka job saa saba. Mwenye atakayenipa ratiba nzuri nitampa siri yangu.
2 Reactions
28 Replies
2K Views
BOY:I love your doughter since 5 months...FATHER:how can you prove it?..BOY:wait 4 months you will believe your self.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1-Baba/Mama or Ma/Ba 2-Dad/Mum or Mummy/Daddy 3-Dingi 4-Mzee 5-Bi Mkubwa 6-Mamushka/Babushka 7-Mshua 8-Mzaa chema 9-...au kwa majina yao
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Jibu ni Tanga na nyika yake ;tafakari
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama mliangalia ile ya kwanza na ukaipenda, hii ya pili ni kali zaidi na kama kawaida mastaa kibao unaowajua, baadhi yao ni kama; Rambo Jet Li Arnold Schwarzenegger Bruce Wills Dolf Lundergren...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari zenu wana ndugu woote wa JF
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Mke: Naomba tuongee mume wangu Mume: Ongea Mke: Ni kuhusu huyu house girl wetu Mume: Hilo ni tatizo lako, halinihusu Mke:Ana mimba Mume: Hilo ni tatizo lake, halinihus Mke: Kasema ni yako Mume...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ili nikusalimu,nikufahamu. Tuzungumze,tujifunze. Tujadiliane,tuelewane na tushikamane. Nikukute wapi Mkuu?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Jamaa alikuwa anasafiri kwenda ulaya, akamwambia dereva wake ampeleke airport. Wakiwa njiani akakumbuka kuna document amesahau, akamwamuru dereva ageuze gari. Alipofika nyumban akamkuta mkewe...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Ndugu zangu wana chit chat,jioni ya jumapili kuamkia j3 kama saa mbili usiku nikiwa kwenye baiskeli yangu nilipata bahati mbaya na kujikuta kwa bahati mbaya naingia kwenye njia ya Tram na...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Walaaniwe wote wanaoiombea CHADEMA mabaya na watu wote tuseme AMEN...... Walaaniwe wote wanaojaribu kuwa wanafiki kwa mioyo yote na kuona kwamba POLISI wamefanya kazi yao kwa kuua watanzania...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu naomba kwa anayejua kuhusu mambo yaliyokwisha ainishwa kama ni ya Muungano (Tanganyika na Zanzibar) anitajie na hasa nikiwa nimejikita kwenye swala la Kodi au Ushuru unaotozwa. Je TRA ndio...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Wavuta bangi wawili walikuwa wamekaa kijiweni wanavuta bangi,mara ndege ikapita. Mvuta bangi1:"Hio ndege lazima itakuwa imebeba Rais!" Mvuta bangi2:"Hapana imebeba wazungu tu,ingekuwa imebeba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
.. alivyomalizia tu akafa hapohapo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni kwa tukio lililotokea Moshi la kumchomesha mahindi mpaka yakaungua Don Mangi, papaa ya Kichagga. . .la presidaa of Moshi, leo atakua viwanja vya mashujaa akichoma ndafu ya ngombe. . .wananchi...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Daktali mmoja Mirembe aliamua kuwapa zoezi wagonjwa wake wa akili (vichaa) ili kupima ukichaa wao, basi akawaambia kuwa atakaeweza kukaa kwa muda wa masaa matatu bila kupiga kelele, kesho yake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Watu watatu walibugia maji katoliki mpaka wakawa bwii, basi wakaanza kurudi nyumbani huku wanaimba wimbo wa parapanda (....Parapanda italia parapanda..) x 6. Basi kwa kuwa ilikuwa ni siku yenye...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habhari yenu bhana, Katika siku ambazo ninafuraha toka kuzaliwa kwangu ni leo nilipo pata simu kutoka kwa mama kuwa kapigwa taraka na baba yangu ombaomba Arushaone Kwakweli toka mama aolewe na...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari zenu woooote........... Asprin, Kaizer na group yenu nimefundishwa dawa ya hang over jana toka maeneo fulani.......... Ukiamka nazo chukua Maziwa mtindi + Fresh Apple katakata ndani yake...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Back
Top Bottom