JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Serikali inakataza ukeketaji (japo unasaidia kupunguza nyeg*) na inakataza kurithi wajane (japo kunasaidia kutunza wajane na watoto wadogo wa marehem). Lakini naishangaa serikali kutokataza mila...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The end is near!! Coca cola linanichanganya mno!
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Nimejitoa muhanga rasmi kuhakikisha huyu bwana mdogo wakati ndio sasa anammiliki charminglady .Hii imetoka na kuona kijana anaelekea kusiko wote ni mashaidi. Ni kweli nitakua ninawakati mgumu sana...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Msitufanyie ivoo....'Flowers' mna rAha kweliii...mnaagiza tuu vitu kibaaooooo Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wamakonde wanapenda sana kusafiri wakiwa wanaimba.siku mohja waliomba lifti kwenye lori la mizigo. Njiani wakawawanaimba nyimbo mbalimbali huku wakiinjoi safari yao. Muda ukaenda sana na safari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mzungu alikuja tanzania kusimamia mradi wa kujenga visima vya maji,akiwa na mitambo kibao mipya,aliwakusanya wanakijiji na kuanza kuwapa mipango ya kazi. Mzungu:Nimekunya(nimekuja) toka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa bhana walikuwa wanafanya UE(university exam),msimamizi wa somo alisifika sana kwa unoko na ukuda wake.msimamizi kamaliza kugawa karatasi,akaruhusu wanafunzi waanze kufanya mtihani,mtihani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nashindwa kujua maana halisi ya hili neno. Mtu anakua mzembe (mathalani kazini) anakua punished, then anamwita alieyempa adhabu 'mnoko'. Hebu niambieni mtu mnoko anakuaje.....
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Refer the above description.
0 Reactions
4 Replies
837 Views
Binadamu sijui tunaelekea wapi ama ndio mwisho wa dunia? hebu bofya HAPA ujionee mwenyewe!
0 Reactions
0 Replies
11K Views
Baada ya kua nimemshukuru Mungu kwa kunirejesha kwenya siha njema, pili nimshukuru my wife NastyBeibe kwa kunilea na kuniuguza vyema kufikia hivi nilivyo. Ndiyo kusema natoa ujumbe rasmi kwako...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
My love asubuhi ulinshtua ulivokua unachemka mwili, na pia hata kuonge ulishindwa , naiman vidole vyako vinaeza ongea, kiukweli nimenyong'onyea coz haupo vizuri beibe wishin u a quick recovery my...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Shangazi nimekuja,japo sina nia kukukwaza. ahadi yetu umevunja,japo ni kwa mara ya kwanza. yangu shida sikuoni ukija,kutatua kile ninacho kiwaza. waweza sema chizi kaja,ni love stress kutwa...
0 Reactions
6 Replies
933 Views
Baada ya kuachana na ndoa ya MATESO ya Mamndenyi nimekaa na halmashauri ya kichwani mwangu na nimemchagua Madame B kuchukua nafasi hiyo. Namuahidi kumpenda naye anipende kama Beibe Nasty...
3 Reactions
97 Replies
5K Views
Taifa letu la viroba. Mwalimu kabla ya kuingia anapiga viloba, madenti nao ni mwendo wa viloba. Madaktari kabla ya kutibu wanapiga viloba, na wagonjwa nao wanapiga viloba ili kupata ganzi...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
HAYA MANENO MNAYATUMIA KILA SIKU LAKINI SIKU IPOOOO? * ''nitakupa tulia'' *'' ntakupa mbele'' *'' utapewa nyuma'' * ''nItakupa nikikaa vizuri'' *'' hivi nilivyokaa ntakupaje?''...
0 Reactions
4 Replies
873 Views
Ati wanasema
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuokota hela kunaambatana na kumbukumbu nyingi. Niliokota Sh. 10 kwa mara ya kwanza nilienda kununulia pipi 2 za machungwa. Mara ya mwisho niliokota 1,000 mwaka 2006, ilikuwa mara yangu ya kwanza...
0 Reactions
4 Replies
958 Views
WanaJF, ni baada ya kutoa warning naye kutojirudi. 1: Mamndenyi ww siyo mke wangu tena kopi yako 2:Mamndenyi ww siyo mke wangu tena kopi ya KATAVI 3 Mamndenyi ww siyo mke wangu tena kopy ya...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom