JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wapo wanaoihisi kufua nguo za ndani za mwenzio ni uchafu ama kejeli ama dharau binafsi akuna raha kama kufua nguo ya mama didy kipindi cha hedhi we eeeeee na saabuni nabadilisha kama alikuwa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwijano alidhamiria kuja mjini Dar ili aungane na wenzake katika biashara yao ya kuuza vyombo vya nyumbani kwa kuvitembeza majumbani kwa mikopo. Baada ya kuuza ndizi na mahindi aliamua kupanda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
:director:natamani kumpenda mtu humu ila nasita sijui ninamuogopa,unahisi ni nani.
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Leo hii ukipewa nafasi ya dk 5 kuongea na rais Barack Obama ukiwa kama mtz utamweleza nn kuhusu nchi yetu
0 Reactions
6 Replies
888 Views
Kwa wale wanaotarajia kupata m(wa)toto ungependa aitwaje kama ni mvulana au msichana ,mmoja au mapacha me ngependa mtoto wangu nimuite NDALICHAKO wewe je?
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Jamani mwenzenu nahesabu siku tu nivute kajiko kangu ka gas niwe napikia peke yangu'sasa hebu nisaidieni kawifi kenu au kashemeji kenu kavae ipi siku yenyewe kati ya hiyo namba 1 au 2? Na kiwifi...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
go baaaackkk tumeharibuuu
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Mimi uck huu nataman nngekuwa na mwenza ili 2badilishane JOTO. . . . Je ww wataman nn uck huu. . . . . . .
1 Reactions
71 Replies
5K Views
morning guys, nahisi ni vyema tukafahamu proffessional zenu, mtu anaweza kupata shida asipate mtu wa kumsaidia kiutaalamu. kama tujuavyo hapa kuna ma-doctor kama dr MziziMkavu.. dr. Riwa...
7 Reactions
214 Replies
10K Views
Mi nachezea namba 3 na 4......wewe je.....?
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Wanachitchat Mie ni mgombea wa miss chitchat though ni mrs ErickB52 tayari. Naombeni kura zenu, hakika nawaahidi donge nono, free full Internet, parties kwa sana, bia na nyagi za kufa mtu, nyama...
6 Reactions
123 Replies
6K Views
Yaani hapendi tena vitumbua, yeye ni mkate tu siku hizi!
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Vile unavyomwona CHURA je kakaa, kasimama, kachutama au kalala? Hzo zote zilikuwa nimbwembwe2 ila point ya mcngi hiiyapa: "mm nimgeni hapa naombeni mnikaribishe wapendwa wng...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani eee wanajamvii naombeni kuwasilisha hili kwani nimelifikiria nimeona linafaa!! Ni kuhusu ''JINSI'' AU ''JINSIA'' kuna THREAD ambazo unatakiwa uchangie kwa kuzingatia ''JINSIA'' kati ya...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
CHAMA KIPYA CHA SIASA KITASHIKA HATAMU NA KUWA NA NGUVU TARIME KULIKO MAGAMBA NA VYAMA VINGINE!!! je ni kweli?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mtu kanijia analia kapigwa kibuti na GF wake,nikamshangaa yaani kibuti tu ndio unalia mbona wako wengi tafuta mwingine maisha yaendelee,jamaa akaniambia kinachomuuma sio kuachwa ila ni vile...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
mi nilikuwa nampigia pande bwana Wakati ndik sasa ili angalau mama watoto wangu charminglady apate bedrest yake kwa amani wakati siku zinajisogeza, sasA mlengwa hata habari, naona mr. mkiva...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana MMU, kama uko pande za singida na dodoma tuwasiliane kama hutajali tupeane hi na kampani ya ukaka na udada (kama jinsia itakuwa tofauti na yangu)......, kuhusu gharama za mkao kila...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanajamvi yaani hapa ni saa tisa na dakika ishirini na tano nimekaa sebuleni namsubiri Mama V arudi toka kwenye kitchen party aliyokwenda tangu saa nane alasiri! Yaani sielewielewi ati! Sijui...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
nilikuwa naona kina Mwali na wenzie wako bize wanasimuliana kuhusu playstation sijui xbox 360, sasa wakati wetu ilikuwa hakuna izo ndude, kulikuwa na vitu kama hivi na mimi ndo nilikuwa...
7 Reactions
54 Replies
7K Views
Back
Top Bottom