JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
wameleta mgao wa maji timekubali ,wakaleta mgao wa umeme tikauzoea wakaleta pia mgao wa mafuta tikachukulia poa haikutosha wakaleta mgomo wa madaktari fresh na walim wakagoma poa lakini chonde...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Mtoto wa mchungaji katoa ushuhuda kanisani Haleluyaaa!!! Nashukuru mungu kwa kuniponya,nilikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu sehemu za siri kila mwezi lakini tangu nimeanza kwenda kwa mwalimu wa...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Uxikubali kijana mwenzako kila wakati akawa anakuuliza vp dada yako yupo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
VISA VYA KUZAA NJE YA NDOA: Kijana alitaka kuoa, akamwambia baba yake niposewe msichana fulani. Babake akamwambia tafuta kwingine, yule ni dada yako, ila mamako hajui usimwambie. Kijana akatafuta...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
From Yahoofriends ECONOMIC SITUATION AND GROUND RULES Due to the current economic situation, all domestic rules and regulations have been revised as below and under no circumstance is any...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo tuanze kwa baraka kidogo. Zab ya 19: 12. Ni ani awezaye kuyatambua makosa yake? Unitakase na mambo ya siri 13. Umzuie mtumishi wako asitende mambo ya kiburi, Yasinitawale mimi Ndipo...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Ke/Me huwa tunavutiwa na Baadhi ya nguo kwa tunao wapenda. mimi binafsi Laazizi wangu akipiga kanga ikamshiba sawia juu akapga kitopu chake...akawa anaenda jikon na kurudi kwa Sebulen jaman...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Nimepitapita yahoo leo na nimeona hii CLICK HERE FOR MORE INFORMATION I wish I could reach her age someday, I got ~91 years to go. what about you guyz and galz?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
881 Views
Kuna msemo maarufu sana, kutoka kwa waliotutangulia usemao "Tembea/Kua uyaone" Machache niliyopata kuyaona na yakiniacha, aidha na majibu kibwena (mengi) kuliko swali husika, ni labda nitoe...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Wana cc habari yenu bhana! Tupo kwenye mchakato wa kutafuta miss chitchat atakaye peperusha bendera ya u-miss chitchat kwa mwezi september baada ya mlimbwende miss cacico kupeperusha bendera ya...
2 Reactions
80 Replies
5K Views
eti kisa kanunua yeye,kisanga chenyewe kama eti mtu anamiliki maybe tuseme simu au laptop mbili, moja akakupa kama rafiki,mchumba,mume au mke (mojawapo)ili utumie eti cjui kuna mtu anahitaji bila...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
..hawasomekiii wanaume somekenii.. Hii umaweza ichukulia kama "JOKE" nenda jukwaa la MMU ukutane na STRESSES.. ndo ukweli... Au naongopa Mamndenyi ? Say sth
0 Reactions
10 Replies
2K Views
guyz sijawahi kutoka na mmama aliyenizidi umri ila nikiwaona nawatamani sana.mi nina miaka 27.nimeajiriwa.ninaelimu ya kutosha.degree 1.siwapendei pesa.mnanishaurije?
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Jamani naombeni msaada kwa anayemfahamu@Kongosho? Nashindwa kuelewa, je ni mwanamume au mwanamke? Msaada kwenye tuta plizzzzz kabla sijajiingiza ki kichwakichwa
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Natafuta kinyozi wa kuninyoa hii style. Najua wacheza kabumbu wataniiga sana watakaponiona siku ya ufunguzi wa ligi. Nishaurini niende salon gani?
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Naona wakala kanitembelea: Karibu wakala. "Asante, nimekuja kuhesabu kwa ajili ya maendeleo ya jukwa letu" Sawa, karibu. Tunaendelea hivi; 1. Jinsia-me 2. Umri-miaka 29 3. Wake-watatu 4...
0 Reactions
4 Replies
969 Views
Jamaa alikatika mkono 1,Baada ya kuona MAISHA yanazidi kuwa magumu, akapanda ghorofani ili ajitupe chini. Kabla hajajitupa akamwona mtu hana mikono yote akiruka kwa furaha akamwuliza, "Mbona...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
basi bwana mtu mzima nikajikusanya kusanya na mshenga kwenda kwao charminglady kujitambulisha kuwa mimi ndo muoaji na ndo muhusika wa ilo tumbo lake, kweli tulipokelewa kwa bashasha watu8 na mkewe...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
mtu yeyote mwenye uwezo wa kunipa michakato namna ya kupata kazi za udom naomba ni pm. kama huna cha msingi usipositi tafadhariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom