JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ILANI: picha hii imetengenzwa kwa photoshop. siwajibiki kwa matumizi ya picha hii tofauti na kuleta burudani
5 Reactions
31 Replies
7K Views
Daktari wa moyo amefanyiwa sherehe ya kustaafu, ikatengenezwa picha kuuubwa ya moyo. Ikawekwa picha ya daktari katikati ya ule moyo. Mtu mmoja katika waliohudhuria sherehe akacheka sanaa. Kaulizwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
WAJAPAN: Wameunda mashine ya kukamata wezi na kuipeleka nchi zifuatazo kwa majaribio: URUSI baada ya nusu saa ikakamata wezi 40 JAMAICA baada ya dk 20 ikakamata wezi 100 GHANA baada ya dk 15...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwakuwa mwalimu ambaye ni baba wa taifa anaitwa JK. Ili kumtiofautisha na Raisi wa sasa basi huyu akitaka kutumia kifupi cha hili jina aitwe KJ. wangapi wanaafiki na kwanini? Binafsi napendekeza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Eti "UNA MASWALI MENGI KAMA KARANI WA SENSA",hii imetokea kitaani kwetu.Tupe yaliyojiri kitaan kwenu
0 Reactions
43 Replies
3K Views
wachunga kondoo wa mungu!!! but kila mmoja kwenye maubiri yake haishi kusema hakuna kama yeye katika dunia hii!!! wengine wanajiita NABII WA MANABII, mara MTUME WA MITUMe haya bana si hatuna...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
ni vigezo gani moderators wanatumia kunibania baadhi ya posts.?????? Nawasilisha.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini wana JF hope mko poa kesho ndo nataraji kurudi Tz sijui niwaletee zawadi gani?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale wenye magari na kwa kawaida hampandi Daladala; Hivi ndivyo viroja tunavyopata kwenye Daladala wenzenu tusio na magari Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Karani mmoja wa sensa amevunjika mbavu baada ya kuangua kicheko cha nguvu alipokuwa katika harakati zake za kudodosa...Amemhoji mzee wa kaya kuhusu makazi vizuri kabisa.Baadaye alimhoji kama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
1.Raha ya jf uzi mpya, mzuri, unaoburudisha, kuelimisha na kuhisihisha; unaochangiwa na wengi, vizuri. 2.Raha ya jf ku chat, hasa baina ya wapendanao. 3.Raha ya jf kuwasakama walanchi. 4.Raha...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
baada ya speculatiosn nyingi, huyu kudai ni ndugu yangu, huyu kadai mchumba wangu ni dada angu, sasa nimeamua kukata mzizi wa fitina nimeamua kuweka cheti changu cha kuzaliwa hapahapa. kwa iyo...
11 Reactions
60 Replies
10K Views
Haya yalikuwa ni mazungumzo ya mume na mke kwenye simu. Mke: Hallo mume wangu, Mume: Sema mama watoto. Mke: Huku nyumban kuna matatizo. Mume: Hayo ni matatizo yako. Mke: Housegirl wetu anamimba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi wenzangu niko pembeni ya ligi ya wanajeshi wa majeshi yetu mawili tofauti (JW na POLICE) Police anajisifia kuwa yeye ni bora na ana kazi mno kuliko mjeda! Mjeda kamjibu kuna nchi yeyote...
0 Reactions
7 Replies
969 Views
Katik mkutano wa madaktari bingwa unaoendelea uko copenhagen (denmark) madaktar 7 kutok china, 3 toka germany, 2 toka tanzania wakiw katk mapumzko walikua wanajisifia kutokana na taaluma zao...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mike Tyson after being banned by the American Boxing Association, has taken up a new profession as a Salesman. He is now working as a Senior Sales executive for Household products with the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau matarajio nyie na Sensa zenu hamjambo. Ni punde hivi jamaa yangu kanitumia msg akinipa homework nimpe wasifu wa hawa watu wafuatao ; 1. REMMY ONGALA 2. ANNA MAKINDA 3. PETER MIZENGO...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Eti kannijia kunzaliwa wapi?Nkawambia wataka nini? Mie sembe nanunua kwa pesa zaangu, kipande cha papa kwa pesa zaangu, mafuta taa kwa pesa zaangu, sijamuombapo ntu. Siku nyengine hilala na njaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hebu tuambiane...unategemea usiku huu KARANI wa sensa atakukuta wapi? msikitini?...kanisani?...bar?...gest hausi? naiti clabu?...n.k! n.k!
0 Reactions
38 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Back
Top Bottom