1. Mwenza wako akitema mate kwenye chombo waweza lamba? Jibu laweza kua no, ila content ni zile zile
2. Unajua kijiko au kikombe cha mgahawani unachotukia kimeingia kidomoni mwa watu wangapi ...
Mzuka Wanajamvi!
Huko chini sana ardhini kuna miamba na hii miamba mda wote inacheza cheza na kutekenyana tekenyana masaa 24/7. Huko kutekenyana na kucheza cheza zinatoa jasho na hilo jasho ndio...
Kuna tofauti gani baina ya vichekesho vya Kichina na Kiswahili? Tafadhali lete baadhi ya vichekesho vya Kiswahili hapa, tuvilinganishe.
1.NZIGE
Wakati Bwana...
Nakumbuka miaka fulani maisha yalinipiga chenga mbaya mbovu, boksi langu lilikuwa gumu utasema ni vault za kuhifadhia dhahabu. Sasa siku moja mchumba akanicheki akadai amenimiss niende kwake...
Naomba anzeni sasa Kupanga Kamati ya Harusi yangu ila Matola atakuwa Bodyguard wangu na LIKUD atakuwa Mpishi wa Chakula cha Harusi yangu.
Wengine jipangeni Wenyewe.
Chrismas bado mwezi mmoja na ushee!
Kuna watakaotaka kusafiri kwa magari yao wakawaringishie ndugu zao Moshi!
Kuna wanaoenda mbugani kuona wanyama!
Kuna watakaotaka kutalii tu kiujumla!
Kuna...
Wahenga wanasema hivo ulivyo ni jamaii imetaka uwe hivyo, so chunga sana mazingira yanaweza kukutengeneza ama kukuharibu, kifikira muonekano hata tabia.
Yaani siku hizi bwana wanawake wamekuwa kama wanaume na wanaume wamekuwa kama wanawake
Yaani wanawake wa siku hizi bwana wanajiamini kuliko hata wanaume wa Dar.
Unafikiri ukimpa mimba ndo...
Mzuka Wanajamvi!
Kuna msitu hapa ukivuka reli, nikaamua niende kutembea usiku huu kuzuga. Pupwe likawa linapuliza kichizi, na pia kwa wakati kama huu unajinyoosha vichakani huku unavuta mjani...
Wana-JF wa Arusha,
Wababa :Enda-Subhai!
Wamama :Endakwenya!
Wote :Subhati Ngerai, habari-ya-Ngaji?..Engai Engoitoi!...poleni sana!
Wapendwa,
Nia yangu si ubaguzi wa Makabila au maeneo, lakini kama...
Ucheshi kidogo, baadhi ya majina ya kipekee Jamiiforum
1. Kichwa kichafu
2.mpwayungu
3. Wa stendi
4. Bujbuji
5. Prakatatumba
6. To yeye
Hayo majina ya ukoo au?
Hakuna aliye mkamilifu hapa chini ya jua! Hivyo binadamu wote tu wadhaifu. Vitabu vya dini vunatuhasa kusamehe saba mara sabini ili mioyo yetu isiwe na kinyongo tena
Huu ni uzi maalumu kwa ajili...
Zifuatazo ni dalili za mwanaume shoga.
1.Anapenda kuvaa heleni
2.Anapenda kujichubua
Ukijiona unapenda moja au mawili hapo juu jua unakoilekea ni ushogani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wakati ambao nimefikia naona ni bora ni jaribu pia upande wa pili kutafuta kizizi na mimi maana sio kwa gundu hili.
Mimi wa kukataliwa na shetani kabisa
Yaani hii ni hatari, msomaji kuna...