HEART?BRAIN?LIVER?ANUS?Who is the Leader?|The human is wondering who is the Leader?!|.|The HEART says:It's me,I circulate the blood|.>|The BRAIN says:NO!,It's me because I control...
Heshima mbele wakuu.poleni na kazi ngumu ya kusherehekea miaka 50 migumu
Kuna kitu kinanitatiza sana kichwani nadhani wenzangu mnaweza kunisaidia, nimetembelea bar nyingi kanda ya ziwa wahudumu...
Jukwaa la MMU inaweza kukosa mvuto kwa ajili ya jukwaa la Chit Chat,hii ni kutokana na members wa MMU kuhamia huku halafu
isitoshe huku mada zote zinajadiliwa.
On their way to get married, a young couple are involved in a fatal car accident. They find themselves sitting outside the Pearly Gates waiting for St Peter to admit them to Heaven.
While...
Kuna mzee moja alikuwa akifanya kazi ya ofisi flani ,sasa huwa muda mwingi wanaingia asubuhi saa11 na kutoka saa5 usiku. Siku moja akiwa nyumbani amekaa sebleni mtoto wake akaja,kwa kuwa hamjui...
Wakuu heshima mbele. Nimeanza mwezi wa kumi na mbili kwa faraja kuu. Kwamba ifikapo tarehe 09 natimiza umri wa miaka 50-sambamba na uhuru wa Tanganyika. Kwa kweli ni safari ndefu sana, na naomba...
Wana JF wenzangu leo tarehe 09.12 ndo nasherekea siku yangu ya kuzaliwa nikiwa nimetimiza miaka 42. Namshukuru MUNGU kwa kuniwezesha kutimiza umri huu nikiwa na afya njema.
The more candles, the bigger the wish.
Wishing you everything happy for your birthday.
May all your dreams and wishes come true!
Wishing you all the best on your speacial day
May the best of your...
hivi na nyinyi huwa mnaulizwa huo ni mtandao gani kila saa tu upo?
huchoki?????
watu wenu wa karibu wanawauliza au kuwaambia nini mnapotumia mda mwingi jf????
Napenda kuwa2mia salaam Mzizimkavu,kongosho,ff,mzee wa loliondo bila kusahau mods wote wakiwa jf.Ujumbe miaka 50 tushamaliza 2songe mbele ili tuongeze 50 mingine.....Wewe unamsalimu nani na nani...
sijajua kwa nini waheshmiwa wengi tu wakiingia kwenye system wanakua less critical au ziii kabisa wakati walipokua nje walikua watu wazuri tu, ningependa kuona watu hawa wa ndani ya system...
Miaka 50 ya uhuru wa tanganyika na c tanzania bara ni wa mizengwe.baada ya uhuru...wananchi walikuwa na ari na nguvu ya kutaka kujenga nchi yao,walikuwa na malengo ya kizazi kijacho kipate...
Huu ni mwaka wa tatu, huwa namsikia akikohoa live redioni.Anayebisha amsikilize leo kama hata kohoa, nitamtumia vocha za 50 alfu kwa pm.
Zamani tulikua tunachemsha misonobali na kunywa juice...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.