jaman ee wana jamv mim bhado sijaona umuhimu wa kusheherekea miaka 50 kwan inafanyika dar kila mwaka na pia wao ndo wana haki hyo. Uku Arusha kuna watu hawajui kama kuna kitu kinachoitwa miaka 50
Tunasuuuza meno.
Tunanyofoa vinyweleo vya kwenye pua.
Tunanyofoa nywele za kwenye kwapa.
Tunaminya vipele.
Tunakamua vijipu.
Tunafinya misuli.
Tunachekesha pua.
Tunauza pilipili hoho...
Nimekuwa nikijiuliza, ni vitu gani vinavutia katika maeneo tofauti hapa duniani. Je ni kitu gani chenye kuvutia kukiangalia na labda ukawa unatamani kwenda kukiona mara kwa mara, inaweza ikawa ni...
hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke...
Kama haja kubwa ni LONG CALL na haja ndogo ni SHORT CALL, then,.. Kukaa juu ya choo ni MISSED CALL. Kulenga ndani ni RECEIVED CALL. Kuendesha ni NETWORK BUSY. Watu kupangana nje ya choo ni CALL...
Habari za mchana wakuu,natumai wote hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu za kila leo.
Jana kuna my friend wangu aliniazima gari lake ili nisafishe jina kitaani,basi kumbe kuna rafiki yangu...
Nilikuwa nimepumzika leo mchana baada ya kutoka darasani ghafla nimeota nafungua jf kwenye simu yangu nakumbana na ujumbe umeandikwa kwa rangi nyekundu ." "THIS FORUM HAVE BEEN CLOSSED" eti kwa...
Jamaa mmoja alikua anamfuatilia binti mmoja aliyekua akisoma sekondary,wkt wa likizo alijikokota na kwenda nyumbani kwa wazazi wa binti huyo na kumkuta baba yake ambaye alikua akiwadhibit vilivyo...
They decide
to play hide-n-seek.........
Unfortunately Einstein is the one who has the
den...........
He is supposed to count up to 100...
and then start searching.....
Everyone...
Hadithi Hadithi.....Hapo zamani za kale alitokea mwanaume mmoja anaitwaWANANCHI WENGI, baada ya kufikia umri wa kuoa akamuoa mwanamke mmoja anaitwa CCM. Mwanamke huyo alikuwa mzuri na mrembo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.