Doctor : What happened to your arm?
Oludhe : I broke it.
Doctor : Where and How did that happen?
Oludhe : Okey. It was a normal Saturday afternoon. I was on the second floor balcony of...
Yaani tangu laptop yangu izingue napata wakati mgumu sana kuingia JF, raha sina, amani imetoweka, apetite imeshuka, tabasamu limepotea, uchovu mwingi, yaani hapa taabu tupu. Hivi JF nimeikosea...
jamani nimetoka kuangalia INVESTIGATION DISCOVERY kuna jamaa mmoja alisema yeye ni polisi na amepoteza funguo zake so anahitaji watoto wa eneo hilo wakamsaidie kuzitafuta....! kumbe alikua anataka...
1.The more beautiful the woman is who loves you, the easier it is to leave her with no hard feelings.
2.Nothing improves with age.
3.No matter how many times you've had it, if it's offered...
Mji umechafuka, Polisi wa magamba wanapiga mabomu ya machozi, magari ya maji ya kuwasha yanaranda maeneo yote ya railway na hapa polisi station.Watu wamechoka, fujo fujo. Sipo eneo la tukio lakini...
Statement: "I'm a Romantic."
True Meaning: "I'm poor."
Statement: "You're the only girl I've ever cared about."
True Meaning: "You are the only girl who hasn't rejected me."
Statement: "I...
Mi binafsi sifurahi kabisa ninapomuona mwanamke anakunywa pombe au kuvuta sigara, mwanamke wa namna hiyo nitamshusha thamani mpaka zero. Nashukuru hapa TZ sio wengi sana, kama wapo wanaovuta...
Harry answers the telephone, and it's an Emergency Room doctor.
The doctor says, "Your wife was in a serious car accident, and I have bad
news and good news. The bad news is she has lost all use...
nilikua nakaa na mdogo wangu chumba ki1,nilivooa ikabidi dogo aondoke,sasa huyo dogo akajakunitembelea siku moja nikiwa na wife.tukiwa tumekaa pale chumbani ,wife,mimi na dogo,nikawa nataka...
Jamaa ilikuwa ni siku ya birthday yake, akashangaa mke wake na watoto wake hawamwambii happy birthday, akaenda kazini akashangaa hata wafanyakazi wake hawamwambii happy birthday, akaamua kuingia...
help center | e-mail options | report spam
The YouTube account for xxxxxxx@yahoo.co.uk will be deleted on Dec 18, 2011 if you do not click the link below to upgrade your account...
Ilikuwa kipindi cha masika msitu ukiwa kijani tupu ndipo kikao kilifanyika. Wajumbe wote katika kikao kile walitakiwa kujifunga majani, yaani walipaswa wote wawe wa kijani ili iwe ngumu...
Ilikuwa mchana wa saa 9 hivi, leo hii.
Nilikuwa nimetoka kupata chips kibandani kwa Mangi, nikapita dukani kwa Jose kupata maji ya Tsh. 50, maarufu kama condom au diripu.
Wakati huo Aswile akaja...
Nilikuwa na mdogo wangu leo mchana mjini na tukapita mahali fulani tukapishana na magari yamewasha taa mchana kweupe.dogo akaniuliza na mazungumzo yalikuwa hivi.....
Dogo : Ati bro kwanini haya...
Heshima mbele kwanza!Week Iliopita nilikuwa natoka mahala,sasa kuna duka moja maarufu sana mitaa yetu tunayoishi sasa nikaingia hapo dukani kabla hata sijauliza kitu nachotaka simu yangu ikaita...
imepita kama siku mbili hivi nilikua maeneo ya dit ninakula kwa wale wanaofahamu eneo ni MANGESHO sasa nikawa nimeweka bag ya laptop kwenye kiti ambacho nilikua nimekalia..! akaja jamaa mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.