Kwani nasema uongo ndugu zangu?........huwa wanasema sisi wanaume wafupi huwa hatujiamini...lakini nimekuja kugundua sifa hizi zifuatazo mwanaume mfupi akiwa nazo huwa zinamuongezea kujiamini au...
Habari ndugu wana jamvi. Binafsi napenda kuwapongeza kwa ujenzi wa taifa. Maana hata hizi bundle tunazonunua tunachangia uchumi kwa kiasi kikubwa
Pia nimpongeze mama kwa kuupiga mwingi maana bila...
Mimi ni kijana wa miaka 23 huyu ndo mtoto wangu wa kwanza kutoka kwa mke wangu Mungu katujalia wa kike nimpatie jina gani zuri maana kazi ya kutafuta jina nimeachiwa mimi babaa
cc bbade
Show me your jigga let me see (Let me see)
And let me see the woman that is with (That is with)
I put a couple thousand Dollars on your wrist (Put on your wrist right now)
Omo omo...
Inakuwaje wanangu wanaJamiiForums
Naombeni kuujua ukweli kuhusu hivi vioo kwa wale wajuzi, maana huwa nikijichekigi kwenye kioo najionaga mbavu sana
Je hivi hizi image za kwenye vioo zinatoa...
Wandugu habari za kazi,
Natumaini mpo poa na mnaendelea kuchapa kazi kwa maaendeleo ya taifa letu.
Leo kumetokea kituko cha mwaka ofisi kwetu yaani mpaka dakika hii bado ni gumzo.
Kuna mdada...
It's time that both sides have to benefit from each other maana pesa zinatafutwa so if she ask for money ask her for a thing that is located between her legs.
Tafuta mjani, kinyonge kimoja cha ukwelii, kipulizee hadi kikukoloee vizuri
Then Anza kusikiliza hii Ngoma ya Young Lunya' - Vitu Vingi.
unyama mwingi sana 🔥 🔥
Kwa takribani miongo mitatu sasa JF imeendelea kuwa chimbo la maarifa tukufu kwa kila rika, yote ni kwa sababu kuwa humu ndani kuna watu mbalimbali kutoka katika kila kona ya dunia wengi wakiwa...
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.
Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu...
Mwanamke wa Dar huyu,
Ana mtoto wa miaka 20 wa kiume (mwanae mkubwa), niliwahi kumsalimia i.e shikamoo! kipindi niko mgeni wa hili jiji, akanijibu, "Kampe mama yako, mi sijakuzaa, tena ukome, na...
Kuna ile tabia ya rubani kutokupunguza speed akikaribia kwenye bamz, mnajikuta nyote mnapaishwa juu [emoji23][emoji23]
Kuna ile tabia ya abiria waliokaa position za madirishani, muda wote...