JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Friday, May 27, 2011, 5:03 Habari kuu, Mtanzania * Ni Kabaka, Jenista Mhagama, Mbilinyi (Sugu) * Wavutana katika kutembelea kiwanda * Kiwandani wabunge washuhudia ‘madudu’ * Wafanyakazi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
After serving my one and half month now am back ladies n gents. tell yalojiri wen awozn around
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Unajua moja ya burudani kubwa humu JF ni majina bandia ya watu na tu-avatar vyao. Kwa mfano: Bubu ataka kusema Msemaovyo, n.k Mod unaweza kutupa (paste) hiyo list yote hapa tuvunje mbavu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunajua kuwa duniani kuna wanawake na wanaume! Hakuna maendeleo yanayoletwa na kundi moja! Na kudharau kundi moja ni kupunguza kasi ya maendeleo! Sasa, hapa2 home of great thinker kauli kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Angalia hao wanaigiza siku mke wa raisi wa kenya alivyokasirika alivyoandikwa gazetini
0 Reactions
4 Replies
2K Views
DO NOT CHEAT AND LOOK AT ANSWERS!!! WORLD'S EASIEST QUIZ (Passing requires only 4 correct answers) 1) How long did the Hundred Years' War last? 2) Which country makes...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ambazo hazijathitishwa zimeaarifu kuwepo kwa jaribio la kutaka kumuua Rais wa wananchi Dr wa Ukweli Slaa ,ninaposema rais wa watanzania nina maanisha Dr Slaa ,Kikwete ni Rais wa kichina...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wataalam, Nimekuwa nikisikia mama fulani hajafunga tumbo baada ya kujifungua. Naomba uzoefu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa serikali ya kijiji hicho, Matena Mwikwabe alidai kuwa wananchi wamekosa imani na Serikali ya CCM kutokana mfululizo wa matukio tangu ndugu zao walipouawa. Diwani wa Kata ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mzee mmoja alitokea kumwamini sana mkewe ya kwamba si malaya. Ingawa kuna baadhi ya watu walimuhakikishia kuwa kuna jamaa huwa anamchukua na kwenda nae guest house hakuamini. Siku moja wakati...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Haya jamani wakiume tujaribu kusoma hiki kitabu kuwaelewa hawa wenzetu!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna siku mjapani alikwenda kuomba kazi katika moja ya kampuni kubwa za kibongo.mambo yalikuwa mambo baada ya mjapani kuanza kuhojiwa: afisa mwajiri alimuuliza jina lako nani na unatokea nchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumeongozwa na Ben kwa miaka 10! Kwa kipindi chote sijawahi sikia wala kuwaona watoto wa ben. Hata kama nimesikia ni kwa bahati mbaya. Tumesikia wa nyerere, mwinyi, jakaya. Lakini ben! Au vipi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Chama cha mapinduzi kinaelekea ukingoni mwa maisha yake kisisa. Hii inatokana na ukweli kwamba chama hiki hakina umakini wowote na raia wake tena saula ambalo limewakatisha raia tamaa na si kukata...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Siwasikii tena makada hawa wawili wa CCM katika harakati hii ya kujivua gamba kwa chama chao. Nini kimewafunga midomo? Sitta kukosa uuspika au Malechele kushindwa ubunge? Au wameona kushindana na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Niliwashangaa mlio andika jana na kunishambulia kwa u junior wangu ila ukweli ni kwamba wamechakachua my first acc,kama hamtaki watu wa ccm humu ndan mseme....KIDUMU CHAMA TAWALA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pindi kimeisha toka sa sita ila lecturer kakomaa bado anafundisha tuu, afu mi natakiwa nkapitie mara ya mwisho notes coz nina pepa badae, cjui niinuke ntoke?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear Sir/Madam, I refer to the recent death of the Technical Manager at your company and wish to apply for the replacement of the dead manager. Each time I apply for employment I am told there...
1 Reactions
0 Replies
768 Views
From Yaoo friends Which is the most Dangerous Letter in English ?? The Answer is "W"...as in Wrong "W" is a tension generator... because all the worries and troubles get begins with...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wapendwa, Leo nimeamua kuja na swali hili kutaka kujua shimo gani la barabarani linalokukera. Mimi binafsi nakerwa sana na shimo lililopo makutano ya barabara ya bibi titi...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom